SlideShare uma empresa Scribd logo
1 de 3
Singachini TTC 2012
JEDWALI LA KUTAHINI

Kabla mwalimu hajaanza kutunga maswali anapaswa kutayarisha jedwali la kutahini. Jedwali la kutahini ni utaratibu
unaonyesha maada za kupima na idadi ya maswali kwa kila maada. Jedwali hili huonyesha malengo yanatarajiwa
kufikiwa pamoja na idadi ya maswali kwa kila maada na/au idadi ya maswali kwa kila ngazi inayopimwa. Jedwali
hupangwa kwa safu. Safu ya kwanza upande wa kushoto huwekwa maudhui kwa kuorodhesha maada(kuu/ndogo)
zinazopimwa. Safu inayofuata kulia huwekwa malengo ya kupimwa,inayofuata nyanja inayopimwa na ngazi zake.

Watahini wengi hutumia mgawanyo wa Bloom (1956) kuainisha stadi hizo. Hata hivyo hufungwi na
utaratibu huu ikiwa somo lako haliwezi kupimwa kikamilifu kwa mgawanyo huo.unaweza kuweka
utaritibu mwingine kama utaona unafaa zaidi.

Idadi ya maswali huonyeshwa katika mkato wa chumba cha maudhui kuelekea kulia na kile cha safu ya ngazi ya stadi
zinazopimwa.

Jumla ya maswali kwa kila maada huandikwa upande wa kulia na Jumla ya maswali kwa kila ngazi ya Nyanja
inayopimwa (mara nyingi utambuzi) huandikwa kwenye mstari wa chini ya jedwali.


Mfano wa Jedwali la Kutahini

                                            STADI ZA KUPIMWA                       JUMLA
               MALENGO                                                                        ASILIMIA
MAADA ZA                                                                            KWA
                  YA            Nganzi   Ngazi   Ngazi    Ngazi    Ngazi                      KWA KILA
KUPIMWA                                                                     ……      KILA
               KUPIMWA            1       2       3        4        5                          MADA
                                                                                   MADA
 Mada A
 Mada B
 Mada C
   …
JUMLAYA
MASWALI
KWA KILA
 NGAZI
ASILIMIA
KWA KILA
 NGAZI




Prepered by Adam Chaula
             College Tutor II                                                                               Page 1
Singachini TTC 2012


UTAYARISHAJI WA JEDWALI LA KUTAHINI

Mambo ya kufanya wakati wakuandaa jedwali la kutahini.

   1. Chukua muhtasari wa somo na maandalio ya somo.

   2. Chunguza katika maandalio ya somo maada ambazo zimekishwa fundishwa.


   3. Chagua mada ambazo unaona ni muhimu zitungiwe jaribio/ mitihani kisha orodhesha mada hizo.

   4. Chunguza kwa makini katika muhtasari na maandalio ya somo malengo mahsusi ya mada zinazotungiwa
      maswali.
      Orodhesha malengo hayo kisha amua:
         i. aina ya maswali yatakayotumika katika upimaji.
        ii. idadi ya maswali yote katika mitihani.
       iii. muda wa kufanya jaribio hutegemea na wingi wa mada na hali ya malengo yenyewe

    5. Chora jedwali la kutahini.

    6. Jaza jedwali la kutahini kwa kufuata hatua hizi.
         i.  orodhesha mada zote za kutungiwa maswali.
        ii.  orodhesha malengo mahususi katika safu inayofuata
       iii.  Amua ngazi zipi za nyanja ipi za kupimwa zipewe umuhimu wa kupewa maswali mengi na zipi zipewe
             maswali machache.




UMUHIMU WA JEDWALI A KUTAHINI
  1. Linahakikisha kuwa maudhui yote yanayotakiwa kutahiniwa yanatahiniwa.

   2.   Linahakikisha kuwa kiwango cha kuelewa maarifa , kumudu stadi za utendaji na kubadilika kwa mwelekeo
        wa watahiniwa kinatahiniwa


   3.   Linahahakikisha uwiano wa idadi ya maswali katika kila eneo na kila kipengele cha nyanja kinapimwa .



Prepered by Adam Chaula
             College Tutor II                                                                              Page 2
Singachini TTC 2012


                        Mfano wa Jedwali la kutahini wa somo la Maarifa ya Jamii

              JEDWALI LA KUTAHINI KWA SOMO LA MAARIFA YA JAMII DARASA LA TANO
                                     MUHULA WA II, 2012
                                               NYANJA YA MWELEKEO
                                 Kuwa tayari                                                               ASILIMIA




                                                                        Kuwianisha
                                                           Kutathmini




                                                                                     Msimamo
MADA ZA       MALENGO YA                                                                       JUMLA KWA




                                                                         maswala
                                                kuitikia
                                                                                                           KWA KILA
KUPIMWA        KUPIMWA                                                                         KILA MADA
                                                                                                            MADA


Mahusiano
ya jamii za                        1              2                                                3         15%
Tanzania
Mila na
                                                  1          1             1                       3         15%
desturi
Kufanya
                                   1                         1             1                       3         15%
kazi
Kusoma
                                   1                                       2                       3         15%
ramani
Muundo wa
serikali ya                        2              1                                                3         15%
kijiji
Ushiriki wa
                                                  2                                   3            5         15%
jamii
IDADI YA MASWALI KWA
                                   5              6          2             4          3           20         15%
KILA NGAZI

ASILMIA KWA KILA NGAZI          25%            30%         10%          20%          15%         100%        100%




Prepered by Adam Chaula
             College Tutor II                                                                                         Page 3

Mais conteúdo relacionado

Mais procurados

History inclusive education
History inclusive educationHistory inclusive education
History inclusive educationBahar Hussain
 
Gandhian philosophy of education in twenty
Gandhian philosophy of education in twentyGandhian philosophy of education in twenty
Gandhian philosophy of education in twentyAnurag Gangal
 
World Student magazine - Issue 4
World Student magazine - Issue 4World Student magazine - Issue 4
World Student magazine - Issue 4Samantha Wilkins
 
Teacher role in curriculum construction
Teacher role in curriculum construction Teacher role in curriculum construction
Teacher role in curriculum construction ShamanthaCS
 
Manpower need approach
Manpower need approachManpower need approach
Manpower need approachMaity Lo
 
The Limitations Of Constructivism
The Limitations Of ConstructivismThe Limitations Of Constructivism
The Limitations Of Constructivismnataliea
 
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptx
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptxCURRICULUM IMPLEMENTATION.pptx
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptxJohnrylFrancisco1
 
Philosophical Foundations of Curriculum
Philosophical Foundations of CurriculumPhilosophical Foundations of Curriculum
Philosophical Foundations of Curriculummariechamberlain
 
Interdisciplinary curriculum
Interdisciplinary curriculumInterdisciplinary curriculum
Interdisciplinary curriculumFadi Sukkari
 
Introduction to philosophical foundation of curriculum
Introduction to philosophical foundation of curriculumIntroduction to philosophical foundation of curriculum
Introduction to philosophical foundation of curriculumberhanu taye
 
Factors influencing changes in curriculum
Factors influencing changes in curriculumFactors influencing changes in curriculum
Factors influencing changes in curriculumzameer gul
 
Nature & function of education psychology
Nature & function of education psychologyNature & function of education psychology
Nature & function of education psychologySarfraz Ahmad
 
Educational planning and Management
Educational planning and ManagementEducational planning and Management
Educational planning and ManagementDr.Shazia Zamir
 

Mais procurados (20)

History inclusive education
History inclusive educationHistory inclusive education
History inclusive education
 
Gandhian philosophy of education in twenty
Gandhian philosophy of education in twentyGandhian philosophy of education in twenty
Gandhian philosophy of education in twenty
 
Curriculum change and innovation
Curriculum change and innovationCurriculum change and innovation
Curriculum change and innovation
 
World Student magazine - Issue 4
World Student magazine - Issue 4World Student magazine - Issue 4
World Student magazine - Issue 4
 
Teacher role in curriculum construction
Teacher role in curriculum construction Teacher role in curriculum construction
Teacher role in curriculum construction
 
Manpower need approach
Manpower need approachManpower need approach
Manpower need approach
 
The Limitations Of Constructivism
The Limitations Of ConstructivismThe Limitations Of Constructivism
The Limitations Of Constructivism
 
Curriculum change
Curriculum changeCurriculum change
Curriculum change
 
Izinkondlo
IzinkondloIzinkondlo
Izinkondlo
 
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptx
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptxCURRICULUM IMPLEMENTATION.pptx
CURRICULUM IMPLEMENTATION.pptx
 
Philosophical Foundations of Curriculum
Philosophical Foundations of CurriculumPhilosophical Foundations of Curriculum
Philosophical Foundations of Curriculum
 
Ukuhluza inkondlo
Ukuhluza inkondloUkuhluza inkondlo
Ukuhluza inkondlo
 
Interdisciplinary curriculum
Interdisciplinary curriculumInterdisciplinary curriculum
Interdisciplinary curriculum
 
Introduction to philosophical foundation of curriculum
Introduction to philosophical foundation of curriculumIntroduction to philosophical foundation of curriculum
Introduction to philosophical foundation of curriculum
 
Concept of cte
Concept of cteConcept of cte
Concept of cte
 
Factors influencing changes in curriculum
Factors influencing changes in curriculumFactors influencing changes in curriculum
Factors influencing changes in curriculum
 
Critical pedagogy
Critical pedagogyCritical pedagogy
Critical pedagogy
 
Nature & function of education psychology
Nature & function of education psychologyNature & function of education psychology
Nature & function of education psychology
 
Hidden curriculum
Hidden curriculumHidden curriculum
Hidden curriculum
 
Educational planning and Management
Educational planning and ManagementEducational planning and Management
Educational planning and Management
 

Destaque

Jipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la SitaJipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la Sitakanguni
 
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...elimutanzania
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Mwl. Mapesa Nestory
 
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALIMAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALIKaka Sule
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaHamad Khamis Juma
 
Fursa kwa walio na mtaji mdogo
Fursa kwa walio na mtaji mdogoFursa kwa walio na mtaji mdogo
Fursa kwa walio na mtaji mdogoYSDO and MAP
 
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaLahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaWilson Pastory
 
Preparing The Table of Specification
Preparing The Table of SpecificationPreparing The Table of Specification
Preparing The Table of SpecificationMary Eunice Quijano
 

Destaque (12)

UTAFITI WA KIELIMU
UTAFITI  WA KIELIMUUTAFITI  WA KIELIMU
UTAFITI WA KIELIMU
 
Jipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la SitaJipime Sayansi Darasa la Sita
Jipime Sayansi Darasa la Sita
 
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
Waraka wa elimu na. 4 wa mwaka 2014 kuhusu utayarishaji wa vifaa vya kujifunz...
 
Maana ya maana!
Maana ya maana!Maana ya maana!
Maana ya maana!
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
 
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALIMAFUNZO YA UJASIRIAMALI
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
 
Elimu ya Watu Wazima(EWW)
Elimu ya Watu Wazima(EWW)Elimu ya Watu Wazima(EWW)
Elimu ya Watu Wazima(EWW)
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
Fursa kwa walio na mtaji mdogo
Fursa kwa walio na mtaji mdogoFursa kwa walio na mtaji mdogo
Fursa kwa walio na mtaji mdogo
 
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaLahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
 
Preparing The Table of Specification
Preparing The Table of SpecificationPreparing The Table of Specification
Preparing The Table of Specification
 
Table of specifications
Table of specificationsTable of specifications
Table of specifications
 

JEDWALI LA KUTAHINI

  • 1. Singachini TTC 2012 JEDWALI LA KUTAHINI Kabla mwalimu hajaanza kutunga maswali anapaswa kutayarisha jedwali la kutahini. Jedwali la kutahini ni utaratibu unaonyesha maada za kupima na idadi ya maswali kwa kila maada. Jedwali hili huonyesha malengo yanatarajiwa kufikiwa pamoja na idadi ya maswali kwa kila maada na/au idadi ya maswali kwa kila ngazi inayopimwa. Jedwali hupangwa kwa safu. Safu ya kwanza upande wa kushoto huwekwa maudhui kwa kuorodhesha maada(kuu/ndogo) zinazopimwa. Safu inayofuata kulia huwekwa malengo ya kupimwa,inayofuata nyanja inayopimwa na ngazi zake. Watahini wengi hutumia mgawanyo wa Bloom (1956) kuainisha stadi hizo. Hata hivyo hufungwi na utaratibu huu ikiwa somo lako haliwezi kupimwa kikamilifu kwa mgawanyo huo.unaweza kuweka utaritibu mwingine kama utaona unafaa zaidi. Idadi ya maswali huonyeshwa katika mkato wa chumba cha maudhui kuelekea kulia na kile cha safu ya ngazi ya stadi zinazopimwa. Jumla ya maswali kwa kila maada huandikwa upande wa kulia na Jumla ya maswali kwa kila ngazi ya Nyanja inayopimwa (mara nyingi utambuzi) huandikwa kwenye mstari wa chini ya jedwali. Mfano wa Jedwali la Kutahini STADI ZA KUPIMWA JUMLA MALENGO ASILIMIA MAADA ZA KWA YA Nganzi Ngazi Ngazi Ngazi Ngazi KWA KILA KUPIMWA …… KILA KUPIMWA 1 2 3 4 5 MADA MADA Mada A Mada B Mada C … JUMLAYA MASWALI KWA KILA NGAZI ASILIMIA KWA KILA NGAZI Prepered by Adam Chaula College Tutor II Page 1
  • 2. Singachini TTC 2012 UTAYARISHAJI WA JEDWALI LA KUTAHINI Mambo ya kufanya wakati wakuandaa jedwali la kutahini. 1. Chukua muhtasari wa somo na maandalio ya somo. 2. Chunguza katika maandalio ya somo maada ambazo zimekishwa fundishwa. 3. Chagua mada ambazo unaona ni muhimu zitungiwe jaribio/ mitihani kisha orodhesha mada hizo. 4. Chunguza kwa makini katika muhtasari na maandalio ya somo malengo mahsusi ya mada zinazotungiwa maswali. Orodhesha malengo hayo kisha amua: i. aina ya maswali yatakayotumika katika upimaji. ii. idadi ya maswali yote katika mitihani. iii. muda wa kufanya jaribio hutegemea na wingi wa mada na hali ya malengo yenyewe 5. Chora jedwali la kutahini. 6. Jaza jedwali la kutahini kwa kufuata hatua hizi. i. orodhesha mada zote za kutungiwa maswali. ii. orodhesha malengo mahususi katika safu inayofuata iii. Amua ngazi zipi za nyanja ipi za kupimwa zipewe umuhimu wa kupewa maswali mengi na zipi zipewe maswali machache. UMUHIMU WA JEDWALI A KUTAHINI 1. Linahakikisha kuwa maudhui yote yanayotakiwa kutahiniwa yanatahiniwa. 2. Linahakikisha kuwa kiwango cha kuelewa maarifa , kumudu stadi za utendaji na kubadilika kwa mwelekeo wa watahiniwa kinatahiniwa 3. Linahahakikisha uwiano wa idadi ya maswali katika kila eneo na kila kipengele cha nyanja kinapimwa . Prepered by Adam Chaula College Tutor II Page 2
  • 3. Singachini TTC 2012 Mfano wa Jedwali la kutahini wa somo la Maarifa ya Jamii JEDWALI LA KUTAHINI KWA SOMO LA MAARIFA YA JAMII DARASA LA TANO MUHULA WA II, 2012 NYANJA YA MWELEKEO Kuwa tayari ASILIMIA Kuwianisha Kutathmini Msimamo MADA ZA MALENGO YA JUMLA KWA maswala kuitikia KWA KILA KUPIMWA KUPIMWA KILA MADA MADA Mahusiano ya jamii za 1 2 3 15% Tanzania Mila na 1 1 1 3 15% desturi Kufanya 1 1 1 3 15% kazi Kusoma 1 2 3 15% ramani Muundo wa serikali ya 2 1 3 15% kijiji Ushiriki wa 2 3 5 15% jamii IDADI YA MASWALI KWA 5 6 2 4 3 20 15% KILA NGAZI ASILMIA KWA KILA NGAZI 25% 30% 10% 20% 15% 100% 100% Prepered by Adam Chaula College Tutor II Page 3