SlideShare uma empresa Scribd logo
1 de 4
Baixar para ler offline
KWANINI MUNGU ANATUPA UTAJIRI
                           MALI NA FEDHA ?

   1. ILI KUIMARISHA AGANO LAKE (UFALME WAKE)* Kumb 8:18 (12-18)
Agano la Mungu kwa siku za leo, ni Agano JIPYA. Kuimarisha Agano lake maana yake; ni
kuimarisha kazi ya injili ya Yesu Kristo, ili wokovu uwafikie watu wote. Tunapotoa muda
wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili kuimarisha Ufalme wa
Mungu, tunakuwa tumetimiza makusudi ya Mungu ya kutupa hizi mali; “kuimaisha agano
lake” (Kumb 8:17-18)
                Soma pia, Gal 3:11,23-26,29; Rum 10:13 – 15; Fillip 4:15 –19)


Mali zetu si pesa tu. Mali ni kitu chochote chenye thamani na kikitumiwa vizuri, kinaweza
kuongeza ubora wa kitu. Kwa mfano;
   a) Muda wako ni mali ya thamani sana, ukiutumia vizuri, utakuletea kipato.
   b) Vipawa vyako pia ni mali, ukikitumia vizuri, kitakuletea kipato.
   c) Fedha yako pia ni mali, ukiipangilia a kuitumia vizuri, itakuboreshea maisha yako.


Tunapotoa muda wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili
kuimarisha Ufalme wa Mungu, tunakuwa tumepanda mbegu katika ufalme wa Mungu na
kwa wakati wa Mungu, zitarudi kwetu moja ikiwa imezaa 30, na nyingine itarudi imezaa 60,
na nyingine 100. Hii ni kwasababu, mali zako na vipawa vyako na muda wako, ni sadaka
mbele za Mungu.Hayo ndio makusudi ya Mungu ya kutupa hizi mali; “kuimaisha agano
lake” (Kumb 8:17-18).


Unapotoa sadaka kama hizi kwa Mungu, toa kwa imani, yaani toa kwa kutarajia kupokea tena
kutoka kwa Mungu. Usione muda wako kama unapoteza au unajitolea tu. Bali vione hivi vitu
kuwa ni sadaka, kwasababu kwa uhalisi, vitu hivi ni mali. Muda ni pesa; vipawa ni pesa pia,
na mali zetu ni pesa. Unapotoa muda, vipawa na mali zako kwa Mungu, ona kwamba unatoa
sadaka. Na sadaka ni mbegu. Na mbegu ikitolewa kwa usahihi, huzaa sana (Math 13:8).




                                            1
Hivyo, toa kwa imani, yaani toa kwa kutarajia kupokea tena kutoka kwa Mungu. Usione
muda wako kama unapoteza au unajitolea tu, bali ona kwamba umetoa sadaka. Tunapotoa
muda wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili kuimarisha Ufalme
wa Mungu, tunakuwa tumepanda mbegu katika ufalme wa Mungu na kwa wakati wa Mungu,
zitarudi kwetu moja ikiwa imezaa 30, na nyingine 60, na nyingine 100; kama tulivyosoma
katika Mathayo 13:8.


   2. ILI KUVITUMIA KWA MAHITAJI YETU BINAFSI *Yoh16:24
Soma tena 1Timotheo 6:17 na 2Wakorintho 9:8 – 11
Mungu kama Baba yetu na kama Mchungaji Mwema, anajali sana mahitaji yetu na haja zetu
au shauku za mioyo yetu. (vitu vitupavyo furaha na kuridhika). Ndio maana hutupa utajiri, ili
tufurahie maisha. Si mapenzi ya Mungu tuwe masikini. Ndio maana Yesu alifanyika maskini
(kimwili) ili kwa umasikini wake, (sisi) tupate kuwa matajiri (kimwili)” (2 Kor 8:9)


Ni mapenzi ya Mungu tupate vitu vyote vitakavyotufanya tufurahie maisha yetu duniani.
Nyumba nzuri, mavazi mazuri, chakula kizuri, kazi nzuri, magari mazuri, biashara nzuri,
mifugo mizuri, mashamba mazuri, mshahara mzuri, n.k.
               (Zab23:1- 2; Fil 4:6-7,19; Zab37:4; Zab145:17- 19)




   3. ILI KUWAGAWIA WAHITAJI *2KOR 9:8-13;
Pia soma 1Timotheo 6:17-19; Waefeso 4:28 na Luka 6:38.
Tunapowapa wahitaji fedha, nguo, viatu, chakula au vitu vya aina nyingine ili     kuwasaidia
kimaisha, tunapata thawabu kubwa kwa Mungu. Kumsaidia mhitaji kitu, ni kumpa Mungu.
Hebu soma vizuri Mathayo 25:31-40; Mathayo 10:40 – 42 na Yohana 13:20.


Mungu ametupa mali, fedha na utajiri wa namna nyingi ili tuwasaidie wahitaji na masikini,
wajane na yatima, wagonjwa na walemavu. Thawabu yake ni kubwa mbele za Mungu, na
Mungu ataona sababu ya kukupa tena na kukuzidishia. Tena Mungu atakufanya uwe
njia/mkondo wa baraka zake kwa watu wengine.
                              Soma pia 2Kor 8:14-15, Mdo 20:35




                                              2
TUMTUMIKIE MUNGU KWA MALI ZETU
Ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya
Mungu, kutufungulia madirisha na milango ya mbinguni, ili kutumwagia baraka nyingi,
tunazohitaji katika mashamba, mifugo, biashara, miradi mbalimbali tuliyonayo. Pia ushiriki
wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya Mungu
azibariki familia zetu, watot wetu, ndoa zetu na afya zetu pia, ili tuzidi kumtumikia na kuwa
baraka kwa wengine pia. Baraka za Mungu zitatuzidishia mapato yetu, ili tuwe na vitu vya
kutosha kutumia na hata kuwa baraka kwa wahitaji wengi

Utoaji ni njia ya Mungu kutupa na kutujaza tunavyohitaji *1Fal 17:1-16

Mungu ndiye alieyewaka kanuni ya kupanda na kuvuna, kutoa na kupokea.           Hivyo, mara
nyingi tunapomwomba Mungu atubariki/atujaze mahitaji yetu, anatuletea mafasi ya kutoa
kwanza, ili tupokee mahitaji yetu tumwombayo. Kwasababu, ndiyo kanuni ya kupokea. Ni
ajabu, sicho tunachotegemea (kutoa wakati wewe binafsi unahitaji). Badala ya Mungu
kukupa moja kwa moja kitu ulichomwomba, anakuletea nafsi ya kutoa hicho hicho kidogo
ulichonacho, kiwe kama mbegu, ili hatimaye upokee (uvune) kile ulichomwomba, na hata
zaidi ya ulivyoomba.

Biblia pia inasema hivi katika kitabu cha Waefeso 3:20 na Wafilipi 4:15-19; kwamba, “Basi
atakuzwe Mungu awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tumwombaye au kuliko
yote tuyawazayo, kwa kadri ya nguvu, itendayo kazi ndani yetu” (Efe 3:20; Fil 4:15-19).

1Wafalme 17:13-16; Eliya akamwambia (yule mama mjane); usiogope (kutoa hicho kidogo
kilichobaki) … enenda ukafanye kwa ajili yangu (kwa maana ukinipa mimi, utakuwa
umempa Mungu) na Mungu wa Isarael anasema, unga wako wala mafuta yako
hayatapunguka kamwe, mpaka njaa itakapoondoka juu ya nchi. Yaani Mungu atavizidisha. Si
ajabu anliongezea Kama ukikubali na kutii, utakula mema ya nchi. Lakini ukikataa,
utaangamia (kama wengine wanavyoangamia). (Isa 1:19)

Si jambo rahisi kutoa wakati wewe mwenyewe umepumgukiwa au una uhitaji. Inahitajika
imani kubwa kutoa kidogo kilichobaki, ili uhitai wako ujazwe. Hivyo, usishangae siku
utakapomwomba Mungu pesa au vitu, halafu badala ya kukupa, anakuletea mhitaji ili umpe
pesa au vitu, au analeta nafasi ya wewe kutoa sadaka. Kumbuka kanuni yake, huwezi kuvuna
bila kupanda!


                                             3
Hivyo, ukikubali na kutii, utavuna na kupata mema, tena zaidi ya ulivyotarajia. Hii ni kanuni
ya Mungu; ukipanda haba utavuna haba, ukipanda nyingi, utavuna nyingi. Huwezi kuvuna
bila kupanda




Utoaji wa sadaka, hufungulia na kutuletea mahitaji yetu (2Wafalme 4:8-41)

Huyu mama Mshunami pamoja na mume wake, japo walikuwa ni watu wenye fedha nyingi
na cheo kikubwa, lakini walikuwa hawajapata mtoto, pengine kwa miaka mingi sana.
Inaawezekana walishaombewa na watumishi wengi wa Mungu, lakini bado maombi yao
hayakuleta muujiza waliokuwa wanausubiri kwa hamu kubwa. Kumbe ufunguo wa muujiza
wao, haukuwa katika maombi pekee, bali katika utoaji wao pia. Yamkini Mungu alishawapa
mtot wao katika ulimwengu wa kiroho, ila sadaka ndio ilikuwa inahitajika, ili kutelemsha
Baraka yao ya mtoto.

Neno la Mungu linasema, Mungu akaweka mzigo ndani ya mama huyu, kumjengea Nabii
Elisha nyumba, ili asipate shida katika utumishi wake. Na huyu mama akamshirikisha
mumewe. Nao wakaiweka azma yao katika matendo. Walipotii na kufanya kile kitu ambacho
Mungu aliweka mioyoni mwao, kwa ajili ya Elisha mtumishi wa Mungu, ndipo muujiza wao
wa kupata mtoto, ukatimia.

Biblia inasema, Elisha akapewa Neno la Mungu kwa ajili ya familia hii, juu ya kupewa mtoto
wao (ambaye tayari alishatolewa kwao, kwa njia ya maombi, lakini ni katika ulimwengu wa
kiroho). Sadaka yao, iliushuhsa ule muujiza wao, kutoka rohoni, ukawa halisi katika mwili,
kwasababu ya Utii wao. Sadaka ina nguvu ya kutupa mahitaji yetu.


Kwahiyo Ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali,
utamfanya Mungu, kutufungulia madirisha na milango ya mbinguni, ili kutumwagia baraka
nyingi, tunazohitaji katika mashamba, mifugo, biashara, miradi mbalimbali tuliyonayo.


Pia ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya
Mungu azibariki familia zetu, watot wetu, ndoa zetu na afya zetu pia, ili tuzidi kumtumikia na
kuwa baraka kwa wengine pia. Baraka za Mungu zitatuzidishia mapato yetu, ili tuwe na vitu
vya kutosha kutumia na hata kuwa baraka kwa wahitaji wengi (Malaki 3:10–12, Luk 6:38)


                                              4

Mais conteúdo relacionado

Mais procurados

Uchumi wa kibiblia
Uchumi wa kibibliaUchumi wa kibiblia
Uchumi wa kibiblia
001111111111
 
G12 fruitful living, christian discipleship
G12 fruitful living, christian discipleshipG12 fruitful living, christian discipleship
G12 fruitful living, christian discipleship
Mathew Yapyongchye
 
Kusudi la mungu kwa kanisa huduma na karama
Kusudi la mungu kwa kanisa   huduma na karamaKusudi la mungu kwa kanisa   huduma na karama
Kusudi la mungu kwa kanisa huduma na karama
001111111111
 
10 pasos para una vida financiera equilibrada
10 pasos para una vida financiera equilibrada10 pasos para una vida financiera equilibrada
10 pasos para una vida financiera equilibrada
evangelismo emslides
 
Warfare Against Demons Part 3
Warfare Against Demons Part 3Warfare Against Demons Part 3
Warfare Against Demons Part 3
Butch Yulo
 
Maisha ya ibada kusifu na kuabudu
Maisha ya ibada   kusifu na kuabuduMaisha ya ibada   kusifu na kuabudu
Maisha ya ibada kusifu na kuabudu
001111111111
 

Mais procurados (20)

The spirit of might
The spirit of mightThe spirit of might
The spirit of might
 
Nguvu ya maombi
Nguvu ya maombiNguvu ya maombi
Nguvu ya maombi
 
Uchumi wa kibiblia
Uchumi wa kibibliaUchumi wa kibiblia
Uchumi wa kibiblia
 
Fulfilling your purpose by fulfilling god's purpose
Fulfilling your purpose by fulfilling god's purposeFulfilling your purpose by fulfilling god's purpose
Fulfilling your purpose by fulfilling god's purpose
 
G12 fruitful living, christian discipleship
G12 fruitful living, christian discipleshipG12 fruitful living, christian discipleship
G12 fruitful living, christian discipleship
 
Door to God's presence
Door to God's presenceDoor to God's presence
Door to God's presence
 
Kusudi la mungu kwa kanisa huduma na karama
Kusudi la mungu kwa kanisa   huduma na karamaKusudi la mungu kwa kanisa   huduma na karama
Kusudi la mungu kwa kanisa huduma na karama
 
“How To Become A Wise Investor
“How To Become A Wise Investor“How To Become A Wise Investor
“How To Become A Wise Investor
 
Manabii wa uongo
Manabii wa uongoManabii wa uongo
Manabii wa uongo
 
Doctrine of Angels
Doctrine of AngelsDoctrine of Angels
Doctrine of Angels
 
10 pasos para una vida financiera equilibrada
10 pasos para una vida financiera equilibrada10 pasos para una vida financiera equilibrada
10 pasos para una vida financiera equilibrada
 
The Birth of Isaac - Genesis 21
The Birth of Isaac - Genesis 21The Birth of Isaac - Genesis 21
The Birth of Isaac - Genesis 21
 
Examine Your Faith
Examine Your FaithExamine Your Faith
Examine Your Faith
 
THE HAND OF GOD
THE HAND OF GODTHE HAND OF GOD
THE HAND OF GOD
 
Brokenness Journey
Brokenness JourneyBrokenness Journey
Brokenness Journey
 
Warfare Against Demons Part 3
Warfare Against Demons Part 3Warfare Against Demons Part 3
Warfare Against Demons Part 3
 
The valley of dry bones
The valley of dry bonesThe valley of dry bones
The valley of dry bones
 
11-06-16, 2 Peter 1;1-11, Being Useful
11-06-16, 2 Peter 1;1-11, Being Useful11-06-16, 2 Peter 1;1-11, Being Useful
11-06-16, 2 Peter 1;1-11, Being Useful
 
A life that attracts god's favor
A life that attracts god's favorA life that attracts god's favor
A life that attracts god's favor
 
Maisha ya ibada kusifu na kuabudu
Maisha ya ibada   kusifu na kuabuduMaisha ya ibada   kusifu na kuabudu
Maisha ya ibada kusifu na kuabudu
 

Kwanini mungu anatupa utajiri

  • 1. KWANINI MUNGU ANATUPA UTAJIRI MALI NA FEDHA ? 1. ILI KUIMARISHA AGANO LAKE (UFALME WAKE)* Kumb 8:18 (12-18) Agano la Mungu kwa siku za leo, ni Agano JIPYA. Kuimarisha Agano lake maana yake; ni kuimarisha kazi ya injili ya Yesu Kristo, ili wokovu uwafikie watu wote. Tunapotoa muda wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili kuimarisha Ufalme wa Mungu, tunakuwa tumetimiza makusudi ya Mungu ya kutupa hizi mali; “kuimaisha agano lake” (Kumb 8:17-18) Soma pia, Gal 3:11,23-26,29; Rum 10:13 – 15; Fillip 4:15 –19) Mali zetu si pesa tu. Mali ni kitu chochote chenye thamani na kikitumiwa vizuri, kinaweza kuongeza ubora wa kitu. Kwa mfano; a) Muda wako ni mali ya thamani sana, ukiutumia vizuri, utakuletea kipato. b) Vipawa vyako pia ni mali, ukikitumia vizuri, kitakuletea kipato. c) Fedha yako pia ni mali, ukiipangilia a kuitumia vizuri, itakuboreshea maisha yako. Tunapotoa muda wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili kuimarisha Ufalme wa Mungu, tunakuwa tumepanda mbegu katika ufalme wa Mungu na kwa wakati wa Mungu, zitarudi kwetu moja ikiwa imezaa 30, na nyingine itarudi imezaa 60, na nyingine 100. Hii ni kwasababu, mali zako na vipawa vyako na muda wako, ni sadaka mbele za Mungu.Hayo ndio makusudi ya Mungu ya kutupa hizi mali; “kuimaisha agano lake” (Kumb 8:17-18). Unapotoa sadaka kama hizi kwa Mungu, toa kwa imani, yaani toa kwa kutarajia kupokea tena kutoka kwa Mungu. Usione muda wako kama unapoteza au unajitolea tu. Bali vione hivi vitu kuwa ni sadaka, kwasababu kwa uhalisi, vitu hivi ni mali. Muda ni pesa; vipawa ni pesa pia, na mali zetu ni pesa. Unapotoa muda, vipawa na mali zako kwa Mungu, ona kwamba unatoa sadaka. Na sadaka ni mbegu. Na mbegu ikitolewa kwa usahihi, huzaa sana (Math 13:8). 1
  • 2. Hivyo, toa kwa imani, yaani toa kwa kutarajia kupokea tena kutoka kwa Mungu. Usione muda wako kama unapoteza au unajitolea tu, bali ona kwamba umetoa sadaka. Tunapotoa muda wetu na vipawa vyetu na mali zetu kwa ajili ya kazi ya Mungu, ili kuimarisha Ufalme wa Mungu, tunakuwa tumepanda mbegu katika ufalme wa Mungu na kwa wakati wa Mungu, zitarudi kwetu moja ikiwa imezaa 30, na nyingine 60, na nyingine 100; kama tulivyosoma katika Mathayo 13:8. 2. ILI KUVITUMIA KWA MAHITAJI YETU BINAFSI *Yoh16:24 Soma tena 1Timotheo 6:17 na 2Wakorintho 9:8 – 11 Mungu kama Baba yetu na kama Mchungaji Mwema, anajali sana mahitaji yetu na haja zetu au shauku za mioyo yetu. (vitu vitupavyo furaha na kuridhika). Ndio maana hutupa utajiri, ili tufurahie maisha. Si mapenzi ya Mungu tuwe masikini. Ndio maana Yesu alifanyika maskini (kimwili) ili kwa umasikini wake, (sisi) tupate kuwa matajiri (kimwili)” (2 Kor 8:9) Ni mapenzi ya Mungu tupate vitu vyote vitakavyotufanya tufurahie maisha yetu duniani. Nyumba nzuri, mavazi mazuri, chakula kizuri, kazi nzuri, magari mazuri, biashara nzuri, mifugo mizuri, mashamba mazuri, mshahara mzuri, n.k. (Zab23:1- 2; Fil 4:6-7,19; Zab37:4; Zab145:17- 19) 3. ILI KUWAGAWIA WAHITAJI *2KOR 9:8-13; Pia soma 1Timotheo 6:17-19; Waefeso 4:28 na Luka 6:38. Tunapowapa wahitaji fedha, nguo, viatu, chakula au vitu vya aina nyingine ili kuwasaidia kimaisha, tunapata thawabu kubwa kwa Mungu. Kumsaidia mhitaji kitu, ni kumpa Mungu. Hebu soma vizuri Mathayo 25:31-40; Mathayo 10:40 – 42 na Yohana 13:20. Mungu ametupa mali, fedha na utajiri wa namna nyingi ili tuwasaidie wahitaji na masikini, wajane na yatima, wagonjwa na walemavu. Thawabu yake ni kubwa mbele za Mungu, na Mungu ataona sababu ya kukupa tena na kukuzidishia. Tena Mungu atakufanya uwe njia/mkondo wa baraka zake kwa watu wengine. Soma pia 2Kor 8:14-15, Mdo 20:35 2
  • 3. TUMTUMIKIE MUNGU KWA MALI ZETU Ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya Mungu, kutufungulia madirisha na milango ya mbinguni, ili kutumwagia baraka nyingi, tunazohitaji katika mashamba, mifugo, biashara, miradi mbalimbali tuliyonayo. Pia ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya Mungu azibariki familia zetu, watot wetu, ndoa zetu na afya zetu pia, ili tuzidi kumtumikia na kuwa baraka kwa wengine pia. Baraka za Mungu zitatuzidishia mapato yetu, ili tuwe na vitu vya kutosha kutumia na hata kuwa baraka kwa wahitaji wengi Utoaji ni njia ya Mungu kutupa na kutujaza tunavyohitaji *1Fal 17:1-16 Mungu ndiye alieyewaka kanuni ya kupanda na kuvuna, kutoa na kupokea. Hivyo, mara nyingi tunapomwomba Mungu atubariki/atujaze mahitaji yetu, anatuletea mafasi ya kutoa kwanza, ili tupokee mahitaji yetu tumwombayo. Kwasababu, ndiyo kanuni ya kupokea. Ni ajabu, sicho tunachotegemea (kutoa wakati wewe binafsi unahitaji). Badala ya Mungu kukupa moja kwa moja kitu ulichomwomba, anakuletea nafsi ya kutoa hicho hicho kidogo ulichonacho, kiwe kama mbegu, ili hatimaye upokee (uvune) kile ulichomwomba, na hata zaidi ya ulivyoomba. Biblia pia inasema hivi katika kitabu cha Waefeso 3:20 na Wafilipi 4:15-19; kwamba, “Basi atakuzwe Mungu awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tumwombaye au kuliko yote tuyawazayo, kwa kadri ya nguvu, itendayo kazi ndani yetu” (Efe 3:20; Fil 4:15-19). 1Wafalme 17:13-16; Eliya akamwambia (yule mama mjane); usiogope (kutoa hicho kidogo kilichobaki) … enenda ukafanye kwa ajili yangu (kwa maana ukinipa mimi, utakuwa umempa Mungu) na Mungu wa Isarael anasema, unga wako wala mafuta yako hayatapunguka kamwe, mpaka njaa itakapoondoka juu ya nchi. Yaani Mungu atavizidisha. Si ajabu anliongezea Kama ukikubali na kutii, utakula mema ya nchi. Lakini ukikataa, utaangamia (kama wengine wanavyoangamia). (Isa 1:19) Si jambo rahisi kutoa wakati wewe mwenyewe umepumgukiwa au una uhitaji. Inahitajika imani kubwa kutoa kidogo kilichobaki, ili uhitai wako ujazwe. Hivyo, usishangae siku utakapomwomba Mungu pesa au vitu, halafu badala ya kukupa, anakuletea mhitaji ili umpe pesa au vitu, au analeta nafasi ya wewe kutoa sadaka. Kumbuka kanuni yake, huwezi kuvuna bila kupanda! 3
  • 4. Hivyo, ukikubali na kutii, utavuna na kupata mema, tena zaidi ya ulivyotarajia. Hii ni kanuni ya Mungu; ukipanda haba utavuna haba, ukipanda nyingi, utavuna nyingi. Huwezi kuvuna bila kupanda Utoaji wa sadaka, hufungulia na kutuletea mahitaji yetu (2Wafalme 4:8-41) Huyu mama Mshunami pamoja na mume wake, japo walikuwa ni watu wenye fedha nyingi na cheo kikubwa, lakini walikuwa hawajapata mtoto, pengine kwa miaka mingi sana. Inaawezekana walishaombewa na watumishi wengi wa Mungu, lakini bado maombi yao hayakuleta muujiza waliokuwa wanausubiri kwa hamu kubwa. Kumbe ufunguo wa muujiza wao, haukuwa katika maombi pekee, bali katika utoaji wao pia. Yamkini Mungu alishawapa mtot wao katika ulimwengu wa kiroho, ila sadaka ndio ilikuwa inahitajika, ili kutelemsha Baraka yao ya mtoto. Neno la Mungu linasema, Mungu akaweka mzigo ndani ya mama huyu, kumjengea Nabii Elisha nyumba, ili asipate shida katika utumishi wake. Na huyu mama akamshirikisha mumewe. Nao wakaiweka azma yao katika matendo. Walipotii na kufanya kile kitu ambacho Mungu aliweka mioyoni mwao, kwa ajili ya Elisha mtumishi wa Mungu, ndipo muujiza wao wa kupata mtoto, ukatimia. Biblia inasema, Elisha akapewa Neno la Mungu kwa ajili ya familia hii, juu ya kupewa mtoto wao (ambaye tayari alishatolewa kwao, kwa njia ya maombi, lakini ni katika ulimwengu wa kiroho). Sadaka yao, iliushuhsa ule muujiza wao, kutoka rohoni, ukawa halisi katika mwili, kwasababu ya Utii wao. Sadaka ina nguvu ya kutupa mahitaji yetu. Kwahiyo Ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya Mungu, kutufungulia madirisha na milango ya mbinguni, ili kutumwagia baraka nyingi, tunazohitaji katika mashamba, mifugo, biashara, miradi mbalimbali tuliyonayo. Pia ushiriki wetu katika kazi ya Mungu, kwa njia ya kutoa muda, vipawa na mali, utamfanya Mungu azibariki familia zetu, watot wetu, ndoa zetu na afya zetu pia, ili tuzidi kumtumikia na kuwa baraka kwa wengine pia. Baraka za Mungu zitatuzidishia mapato yetu, ili tuwe na vitu vya kutosha kutumia na hata kuwa baraka kwa wahitaji wengi (Malaki 3:10–12, Luk 6:38) 4