O slideshow foi denunciado.
Utilizamos seu perfil e dados de atividades no LinkedIn para personalizar e exibir anúncios mais relevantes. Altere suas preferências de anúncios quando desejar.
Vyanzo vikuu kumi
vinavyopelekea vifo nchini
Tanzania
 Saratani (Cancer) 15%
 Ugonjwa wa Moyo (Ischemic Heart Disease) 1...
Takwimu za uzalishaji na Mauzo
ya kahawa duniani
Mwaka 2011 mauzo ya kahawa duniani kote
yalikuwa yenye thamani ya dola za...
Takwimu za uzalishaji na Mauzo
ya kahawa duniani
Mwaka 2011, inakadiriwa kuwa uzalishaji wa
kahawa ulifika tani 5.9(kilo 5...
Kahawa tiba ni moja tu
Tunapatikana kwa simu namba
0756058976 na 0717517023
Kahawa yenye Afya
Haijapata kutokea Kabla
Ni nzuri zaidi…..
Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha
Lehemu (cholesterol) mbaya, Kus...
Ubora Uliomo kwenye Kahawa ya
Kipekee ya Ginseng
Imetengenezwa kwa kahawa asilia ya
Arabica kutoka Brazil na Columbia na
k...
Faida za Kahawa ya Ginseng ya
EDMARK
 Kunoa ubongo na kurudisha kumbukumbu
 Kuongeza uwezo wa kuona na kusikia
 Kuongez...
Mapambano MEKUNDU dhidi ya
Ugonjwa wa Moyo
Ugonjwa wa Moyo unaongoza kwa kuua
wanaume na wanawake duniani. Lehemu
iliyozid...
Lehemu
Hutokea baada ya kukamaa kwa mishipa ya ATERI
(atherosclerosis) na hupelekea maumivu ya kifua
(angina), maumivu ya ...
Njia 2 za Kupunguza Kiwango cha
Lehemu Mwilini
1. Kubadili Mfumo wa Maisha
- Badili mfumo wa ulaji
- Ongeza mazoezi ya mwi...
2. Njia ya Vidonge
Mapungufu
Njia ya kwanza:
Ni ngumu sana kwa mtu ambaye ameshakuwa na
tatizo au dalili zake
Njia ya pili...
Sasa Shusha Kiwango Cha Lehemu kwa
Kutumia Njia Ya Asili!
Kahawa Nyekundu
Iliyotengenezwa kwa kutumia Kahawa Asilia na
Mch...
Faida za Kahawa Nyekundu
Inapunguza lehemu (cholesterol) mbaya
mwilini
Inaongeza kiwango cha lehemi nzuri
Inasaidia mzungu...
Próximos SlideShares
Carregando em…5
×

de

Kahawa ya edmark Slide 1 Kahawa ya edmark Slide 2 Kahawa ya edmark Slide 3 Kahawa ya edmark Slide 4 Kahawa ya edmark Slide 5 Kahawa ya edmark Slide 6 Kahawa ya edmark Slide 7 Kahawa ya edmark Slide 8 Kahawa ya edmark Slide 9 Kahawa ya edmark Slide 10 Kahawa ya edmark Slide 11 Kahawa ya edmark Slide 12 Kahawa ya edmark Slide 13
Próximos SlideShares
A complete Guide to Network Marketing (MLM) 53 Success Tips
Avançar
Transfira para ler offline e ver em ecrã inteiro.

1 gostou

Compartilhar

Baixar para ler offline

Kahawa ya edmark

Baixar para ler offline

Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha Lehemu (cholesterol) mbaya, Kusaidia Mmeng’enyo wa Chakula na Kusaidia Mzunguko wa Damu, Inaondoa Sumu na Kupunguza Kasi ya Kuzeeka, Kuchangamsha Ubongo na Kurudisha Kumbukumbu, Kuongeza kiwango cha hewa ya oksigeni mwilini, Kuzuia Saratani na Kuongeza Kinga Mwilini

Livros relacionados

Gratuito durante 30 dias do Scribd

Ver tudo

Kahawa ya edmark

 1. 1. Vyanzo vikuu kumi vinavyopelekea vifo nchini Tanzania  Saratani (Cancer) 15%  Ugonjwa wa Moyo (Ischemic Heart Disease) 13%  Kiharusi (Stroke) 11%  Chronic Obstructive Pulmonary Disease 6%  Maambukizi kwenye Mfumo Mdogo wa Upumuaji (Lower Respitory Infections) 5%  VVU (HIV) 3%  Kuhara (Diarrheal Disease) 3%  Ajari za Barabara (Road Injuries) 3%  TB (Tuberculosis) 2%  Malaria 2% Chanzo cha taarifa: GBD Compare, 2010 Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 2. 2. Takwimu za uzalishaji na Mauzo ya kahawa duniani Mwaka 2011 mauzo ya kahawa duniani kote yalikuwa yenye thamani ya dola za kimarekani 70.86 Billioni (takrribani Tsh 113,376,000,000) Baada ya maji, kahawa ndicho kinywaji kinachofuatia kwa matumizi duniani. Kila siku idadi ya vikombe 2,500,000,000 vya kahawa hunywewa ulimwenguni kote. TIBA YA UGONJWA WA MOYO KWA KUTUMIA KAHAWA Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 3. 3. Takwimu za uzalishaji na Mauzo ya kahawa duniani Mwaka 2011, inakadiriwa kuwa uzalishaji wa kahawa ulifika tani 5.9(kilo 5,900,000,000 ndio bidhaa inayouzwa sana ulimwenguni baada ya mafuta. Barani Afrika, kwa wastani kila mtu hutumia kilo 14 kwa mwaka. Mauzo ya kahawa maalum huongezeka asilimia 20% kila mwaka. Mamilioni ya watu duniani hulipa hadi kufikia $ 4(Tsh 6,400) kwa kikombe kimoja cha kahawa na huweza kunywa hadi vikombe 3-5 kwa siku Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 4. 4. Kahawa tiba ni moja tu Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 5. 5. Kahawa yenye Afya Haijapata kutokea Kabla Ni nzuri zaidi….. Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha Lehemu (cholesterol) mbaya, Kusaidia Mmeng’enyo wa Chakula na Kusaidia Mzunguko wa Damu, Inaondoa Sumu na Kupunguza Kasi ya Kuzeeka, Kuchangamsha Ubongo na Kurudisha Kumbukumbu, Kuongeza kiwango cha hewa ya oksigeni mwilini, Kuzuia Saratani na Kuongeza Kinga Mwilini Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 6. 6. Ubora Uliomo kwenye Kahawa ya Kipekee ya Ginseng Imetengenezwa kwa kahawa asilia ya Arabica kutoka Brazil na Columbia na kuchanganywa na mmea wa Ginseng Ginseng ina kiambata kiitwacho Ginsenoside chenye uwezo wa hali ya juu wa kutibu, kunoa ubongo, kurudisha kumbukumbu na kusawazisha shinikizo la damu. Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 7. 7. Faida za Kahawa ya Ginseng ya EDMARK  Kunoa ubongo na kurudisha kumbukumbu  Kuongeza uwezo wa kuona na kusikia  Kuongeza uwezo wa kufikiria  Kupunguza na kuondoa lehemu (cholestorol) mbaya  Kushusha shinikizo la damu mwilini  Kuongeza kiwango cha oksijeni mwilini  Kupunguza mapigo ya moyo wakati wa kufanya mazoez  Kuondoa sumu mwilini  Kuzuia saratani (cancer) Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 8. 8. Mapambano MEKUNDU dhidi ya Ugonjwa wa Moyo Ugonjwa wa Moyo unaongoza kwa kuua wanaume na wanawake duniani. Lehemu iliyozidi mwilini ni chanzo kikuu cha ugonjwa wa moyo. Uhalisia ni kuwa, kadiri kiwango cha lehemu kinavyozidi mwilini, ndivyo kiwango cha hatari ya kupata ugonjwa wa moyo kinavyoongezeka. Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 9. 9. Lehemu Hutokea baada ya kukamaa kwa mishipa ya ATERI (atherosclerosis) na hupelekea maumivu ya kifua (angina), maumivu ya moyo, au kiharusi. Sababu kuu:  Umri  Unywaji wa Pombe  Ulaji mbovu  Jinsi (wanaume wapo kwenye hatari zaidi)  Kurithi  Kukosa mazoezi  Uzito uliozidi Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 10. 10. Njia 2 za Kupunguza Kiwango cha Lehemu Mwilini 1. Kubadili Mfumo wa Maisha - Badili mfumo wa ulaji - Ongeza mazoezi ya mwili - Dhibiti uzito wa mwili wako Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 11. 11. 2. Njia ya Vidonge Mapungufu Njia ya kwanza: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye ameshakuwa na tatizo au dalili zake Njia ya pili: Hii hupelekea kwenye matatizo kama- kizunguzungu, aleji, maumivu ya mifupa, kiungulia, na kuharibika kwa INI Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 12. 12. Sasa Shusha Kiwango Cha Lehemu kwa Kutumia Njia Ya Asili! Kahawa Nyekundu Iliyotengenezwa kwa kutumia Kahawa Asilia na Mchele mwekundu Tafiti zinaonesha mchele mwekundu una faida zifuatazo katika kushusha kiwango cha lehemu mwilini: -Ina utembwe, wanga wa mchele, sterols na fati asidi za kupunguza kiwango cha lehemu mbaya na kuongeza kiwango cha lehemu nzuri - Ina HMG- CoA inayodhibiti uwezo wa ini kuzalisha lehemu hivyo kuzuia uwezo wa kupata ugonjwa wa moyo - Ina Mevinolin yenye viondoa sumu mbalimbali Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 13. 13. Faida za Kahawa Nyekundu Inapunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini Inaongeza kiwango cha lehemi nzuri Inasaidia mzunguko wa damu na mmeng’enyo wa chakula mwilini Inaondoa kabisa maumivu ya mgongo Inaongeza viondoa sumu mwilini 1 2 3 4 5 Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023
 • ssuser3e8ce3

  Mar. 14, 2016

Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha Lehemu (cholesterol) mbaya, Kusaidia Mmeng’enyo wa Chakula na Kusaidia Mzunguko wa Damu, Inaondoa Sumu na Kupunguza Kasi ya Kuzeeka, Kuchangamsha Ubongo na Kurudisha Kumbukumbu, Kuongeza kiwango cha hewa ya oksigeni mwilini, Kuzuia Saratani na Kuongeza Kinga Mwilini

Vistos

Vistos totais

1.694

No Slideshare

0

De incorporações

0

Número de incorporações

12

Ações

Baixados

3

Compartilhados

0

Comentários

0

Curtir

1

×