O slideshow foi denunciado.
Utilizamos seu perfil e dados de atividades no LinkedIn para personalizar e exibir anúncios mais relevantes. Altere suas preferências de anúncios quando desejar.
Mofolojia
ya

kiswahili
Malengo ya somo hili
• Kueleza na kufafanua maana ya mofolojia
• Kutambua na kufafanua zaidi mofolojia na
vipashio vyake.
Kunihusu mimi
• GEOPHREY SANGA
• Mwalimu wa shahada ya ualimu katika
masomo ya kiswahili and ICT(TEHAMA)
• BED ICT
• Email...
utangulizi
•

Maana ya mofolojia
Maana ya mofolojia
• Mofolojia ni tafsiri ya neon la kiingereza
“Morphology”. Neno hili nalo linatokana na
neon la kiyunan...
Maana..........
• Hartman (1972). Mofolojia ni tawi la
sarufi ambalo hushughulika na uchunguzi
na uchambuzi wa maumbo, fan...
Maana.........
• Kwa ujumla mofolojia ni taaluma
inayoshughulikia lugha pamoja na
mpangilio wake katika uundaji wa
maneno....
Uhusiano uliopo kati ya mofolojia na
matawi mengine ya sarufi
• Mofolojia na fonolojia
• Kuna uhusiano wa moja kwa moja ka...
Mofolojia na fonolojia
• Vipashio vya mofolojia ni fonimu, mfuatano
wa fonimu ndio huuna vipashio vya
kimofolojia ambavyo ...
Mofolojia na fonolojia
ii) Uhusiano mwingine kati ya fonolojia na
mofolojia ni kwamba, kanuni za kifonolojia
hutumika kuel...
Mofolojia na fonolojia
• Kipashio [mu] katika mifano hapo juu
kinajitokeza kama [mw-] inapofuatwa na irabu
ambayo.

Mu

mw...
Mofolojia na sintaksia
i. Vipashio vya msingi vya kimofolojia ndivyo
hutumika katika kuundia daraja hili la
sintaksia
Mfan...
Mwisho

kwa

asante

usomaji

Mawasiliano: sanagageophrey@gmsil.com
©2013
Maswali na majibu
• Kwa maswali au mchango wowote kuhusuiana
na kiswahili nifuate kwenye email yangu ya
• sangageophrey@gm...
Próximos SlideShares
Carregando em…5
×

Mofolojia ya kiswahili

57.689 visualizações

Publicada em

Publicada em: Educação
 • Follow the link, new dating source: ❶❶❶ http://bit.ly/2F90ZZC ❶❶❶
     Responder 
  Tem certeza que deseja  Sim  Não
  Insira sua mensagem aqui
 • Dating direct: ❤❤❤ http://bit.ly/2F90ZZC ❤❤❤
     Responder 
  Tem certeza que deseja  Sim  Não
  Insira sua mensagem aqui
 • Dating for everyone is here: ❶❶❶ http://bit.ly/2LaDVgK ❶❶❶
     Responder 
  Tem certeza que deseja  Sim  Não
  Insira sua mensagem aqui
 • Sex in your area is here: ❶❶❶ http://bit.ly/2LaDVgK ❶❶❶
     Responder 
  Tem certeza que deseja  Sim  Não
  Insira sua mensagem aqui
 • DOWNLOAD THIS BOOKS INTO AVAILABLE FORMAT (2019 Update) ......................................................................................................................... ......................................................................................................................... Download Full PDF EBOOK here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... Download Full EPUB Ebook here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... Download Full doc Ebook here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... Download PDF EBOOK here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... Download EPUB Ebook here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... Download doc Ebook here { https://tinyurl.com/v6mj3cp } ......................................................................................................................... .........................................................................................................................
     Responder 
  Tem certeza que deseja  Sim  Não
  Insira sua mensagem aqui

Mofolojia ya kiswahili

 1. 1. Mofolojia ya kiswahili
 2. 2. Malengo ya somo hili • Kueleza na kufafanua maana ya mofolojia • Kutambua na kufafanua zaidi mofolojia na vipashio vyake.
 3. 3. Kunihusu mimi • GEOPHREY SANGA • Mwalimu wa shahada ya ualimu katika masomo ya kiswahili and ICT(TEHAMA) • BED ICT • Email: sangageophrey@gmail.com
 4. 4. utangulizi • Maana ya mofolojia
 5. 5. Maana ya mofolojia • Mofolojia ni tafsiri ya neon la kiingereza “Morphology”. Neno hili nalo linatokana na neon la kiyunani “Morphe” lenye maana ya muundo au umbo ( Aurbach et al 1971; 106). • Mofolojia ni neno linalotumiwa kumaanisha utanzu wa isimu unaoshughulikia muundo wa maneno ( Habwe na Karanja 2004).
 6. 6. Maana.......... • Hartman (1972). Mofolojia ni tawi la sarufi ambalo hushughulika na uchunguzi na uchambuzi wa maumbo, fani na aina za maneno yalivyo sasa pamoja na historia zake
 7. 7. Maana......... • Kwa ujumla mofolojia ni taaluma inayoshughulikia lugha pamoja na mpangilio wake katika uundaji wa maneno. Vipashio hivyo vya lugha huitwa mofimu
 8. 8. Uhusiano uliopo kati ya mofolojia na matawi mengine ya sarufi • Mofolojia na fonolojia • Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mofolojia na fonolojia:i. Vipashio vya kifonolojia ndivyo hutumika katika kuunda vipashio vya kimofolojia mfano
 9. 9. Mofolojia na fonolojia • Vipashio vya mofolojia ni fonimu, mfuatano wa fonimu ndio huuna vipashio vya kimofolojia ambavyo ni mofimu Mfano • Fonimu: i, p, t, a, huunda • mofimu: Pit-a • Hivyo basi neno pita limeundwa na mofimu mbili na fonimu nne
 10. 10. Mofolojia na fonolojia ii) Uhusiano mwingine kati ya fonolojia na mofolojia ni kwamba, kanuni za kifonolojia hutumika kueleza maumbo ya kimofolojia ambayo yanaathiriana. Mfano Katika neno mu-ana mwu-alimu
 11. 11. Mofolojia na fonolojia • Kipashio [mu] katika mifano hapo juu kinajitokeza kama [mw-] inapofuatwa na irabu ambayo. Mu mw-/-I
 12. 12. Mofolojia na sintaksia i. Vipashio vya msingi vya kimofolojia ndivyo hutumika katika kuundia daraja hili la sintaksia Mfano  Neno hutumika kuundia sentensi
 13. 13. Mwisho kwa asante usomaji Mawasiliano: sanagageophrey@gmsil.com ©2013
 14. 14. Maswali na majibu • Kwa maswali au mchango wowote kuhusuiana na kiswahili nifuate kwenye email yangu ya • sangageophrey@gmail.com

×