O slideshow foi denunciado.
Utilizamos seu perfil e dados de atividades no LinkedIn para personalizar e exibir anúncios mais relevantes. Altere suas preferências de anúncios quando desejar.
Harakatizakisiasatanzania, atharizakekwawaislamu WA TANZANIA najinsiyakuPAMBANAnazo
DODOMA, 24.04.2011
MTOA MADA...
UTANGULIZI
Harakatizakisiasanchini Tanzania zinaanzianaMkutanowa Berlin mwaka 1884.
Katikamakubalianoyajumlayamk...
Contd………
Matokeoyake, sera zaserikalizakikolonizaKijerumaninaKiingerezanchini Tanzania, zilikuwakuwapendeleawakristok...
Contd……
KatikakitabuHistoriayaJimboKuu la Dar es Salaam, tunanukuu;-
“Askofualisisitizakwambahaitoshikufunguamas...
Contd…..
“AlikutanapianaGavana, akapananaekujengauhusianoborakatiyamisioninaserikali. Isitoshe, walikubalianakwamba...
Mfumowaelimuwakanisa
Mwaka 1945-Mfumo waElimu Tanganyika
ShuleShulezaSerikalinaShulezaMakanisa
Msingi		  ...
Contd….
UhusianohuukatiyaKanisanaSerikaliuliendeleahatabaadayaWajerumanikuondokanchinikufuatia Vita Kuuya I yaDuniana...
Contd…
Mwaka 1929, waislamuwakaanzishachama cha ustawiwawaafrika -African Association (AA).
Mwaka 1933, wakakiba...
Contd….
Wakatiwotewaharakatihizizawaislamukuanzia AA na TAA, wakristowalijiwekambalinasiasakwasababuUkristouliokuwand...
Contd….
KupitiaNyerere, wakristowakajiandaakuitawala Tanganyika hurupasinawaislamukujuakwambaNyererekuingiakatikasias...
Nyererealiandaliwanakanisa
Hatuwezikuzungumzaharakatizakisiasa Tanzania naatharizakekwawaislamupasinakumzungumzia Jul...
Contd…
Hao “viongozifulani” mmojawaoniPadri Walsh –KatibuMtendajiwaIdarayaElimuyaKanisaambayendiyealiyekuwamkufunziwa...
Contd..
KatikabaruayakekwendaMakaoMakuuyaKanisa Vatican kwaidaraiitwayo Propaganda Fidei, Padri William Collins Katib...
Contd…
HuundioulikuwamkakatirasmiwakanisaKatolikikamaunavyosisitizwatenakatikanukuuifuatayo;-
“Kuna hatariya TAN...
Contd…
UkwelihuuunatufanyatuelewekwaninimarabaadayaNyererekuingiakatika TAA upepowakisiasaghaflaukabadilimwelekeonaku...
Contd…
AtharizaharakatihizizasiasazaKanisawakatiwakudaiuhuruniwaislamukuenguliwakutokakatikasiasakupitiaUamuziwaBusar...
2.0 harakatizakisiasabaadayauhuru
Baadayauhuru, Kanisalilijiandaakujilimbikiziazaidinguvukubwakisiasa, kiuchuminakiut...
Contd…
KatikajuhudihizimpyazaKanisa, UislamuukaorodheshwakatikamaaduiwakubwawaKanisapamojanaUkomunistiambaowanatakiwa...
Shulezaeamshadimwaka 1968
Uganda		Tanzania		Kenya
Shule/Msingi     77		    70  		  28
VyuovyaU...
Contd…
Mwaka 1961 MakaoMakuuya EAMWS yalihamishiwa Dar es Salaam, kitendohikikikaonekanatishiokwaKanisa.
“Hivyo,...
Contd…
Sivalonanathibitishahiloalipoandikakwamba;-
“..viongoziwangazizajuuwaliohusikanautumewaKanisawakijamiikit...
Contd…
MatokeoyakenikujengekakwaMfumoKristouliotawalakilakitukuanziasiasa, dola, elimu, ajira, uchumi, hudumazakijama...
CONTD…
Kwanza walianzakwakupigamaarufukuMahakamayaKadhimwaka 1963 nakuletaSheriamojayakisekula.
Lengonikuwaondol...
Contd…
KishawakajanaAzimio la ArushanaSiasayaUjamaamwaka 1967, hiyoilikuwa sera yaKanisatangumwaka 1905-1910 walipoan...
Madharaya SERA YA MFUMO WA CHAMA KIMOJA, azimio la arushanasiasayaujamaakwawaislamuwatanzania
UamuziwakufutaMahakamaz...
Contd…
Sera yavijijivyaujamaailimalizakabisamfumowakijamiiwawaislamunakuwaathirikiuchumikwakuwatoakatikaardhizenyerut...
Contd…
MaaskofumbalimbaliwaliwahimizawakristokwendakatikavijijivyaujamaakwasababukwaoilikuwafursayakipekeekamaAskofu ...
Contd….
Nyereremwenyewekamamleialiwahimizamapadrikuishivijijini. Sivalonanasema;-
“BaadayaMwalimuNyererekuwataka...
Contd…
Mwakahuohuowa 1970, NyererealikuwaameshawaambiaMaaskofukuwaanatakakulipaKanisanafasiyakipekee.
Akizungumz...
Contd…
SivalonanasemaAzimio la ArushalinasisitizamaadiliyaKikristonaananukuu;-
“Hakunaatakayetiliamashakamiongoz...
CONTD…
John Sivalonanasemamwaka 1969 uliitwa “MwakawaSeminazaMafunzo” naananukuuazimio la Mkutanouliofanyika Chuo Ki...
Contd…
Hadikufikiamwaka 1970, siasaza Tanzania zilikuwamikononimwaKanisakwaasilimiakubwanakuwawezeshakuamuawanachotak...
Contd…
Kwakutumiawingiwaobungeni, wakawawanapitishasheriambalimbalizakuwakandamizawaislamu.
SheriayaNdoanaTalaka...
3.0 HARAKATI ZA KISIASA KATIKA MFUMO WA   VYAMA VINGI (1992 TODATE)
Hatimaye sera yaMwalimuNyererenaKanisayaUjamaa...
Contd…
Akikabiliwanahalimbayayauchumi, Nyerereakalazimikakung’atukanakumkabidhinchi Ali Hassan Mwinyimnamomwaka 1985....
Contd…
KatibayaJamhuriyaMuunganoSuraya Kwanza Kifungu cha 3.-(1) inasema;-
“The United Republic is a democrati...
Contd…
Wakatimfumowavyamavingiinaanzatena, waislamuwengiwalishapotezahamukuhususiasakwakuonakuwahainamaslahinadiniyao...
Contd…
Kwamudamfupi, waislamuwalipatamatumainikisiasakupitia Prof. Kighoma Ali Malimaalipojiungana NRA (National Reco...
Contd…
Katikauchaguziwamwaka 1995, waislamuwaliokuwawamezindukakisiasawakajiungakwawingina CUF chiniyamgombeaUraisi P...
Contd…
Angalaukipindi cha awamuyapili, waislamuwalipataahuenikidogodhidiyaukandamizajinahivyokupatafursazakujiendelez...
Contd…
BadalayakeniwakristondiowalioitumiavemafursayaRaismuislamukuwekaMakubalianoyaMaridhiano (Memorandum of Underst...
Contd…
Uchaguziwa 1995 ulioneshakuwawaislamubadowakonyumasanakisiasakulinganishanawakristokwaniwakristowalitumiahamas...
Contd…
Kipindichote cha awamuyatatu, waislamuwalijikutawakipatamadhilamakubwakisiasanakiimani. (MauajiMwembechai, Zan...
Contd…
Uchaguziwamwaka 2010, harakatizakisiasanchiniziligubikwana mambo mawilimakubwa;-
MkakatimpyawaMfumoKrist...
Contd…
Muafakawa Zanzibar, umeletahaliyaamani, udugunamshikamanokiasifulani Zanzibar nakupunguzahaliyauhasamakatiyawa...
Contd…
Kwaupandewa Tanzania Bara, matukioyamuafakawa Zanzibar yameletakuzorotakwanguvuzakisiasazawaislamu.
Wakik...
Contd…
Ingawawakristowameitumia CCM kujijenga, sasawanatakakuondokananachamachenyehistorianawaislamunakuwanachamaamba...
Contd…
MgombeawaChademakuwaPadrihaikuwabahatimbayahatakidogo. Kampenizikapigwawaziwazimakanisaninakatikavyombovyaovya...
Contd…
Kwamaraya kwanza, masheikhwakashirikikatikasiasapasinakifichokamawafanyavyoMapadri, WachungajinaMaaskofujamboa...
BAADA YA UCHAGUZI 2010
Mambo yanayojitokezabaadayauchaguziwa 2010 yanaashiriamkakatiwaMfumoKristokubadilimazingirayak...
Contd…
Mkakatimpyanikuhakikishakuwanchihaitawalikiilikuzidikujengachamachaotayarikwauchaguziwa 2015.
Madaiyakati...
Contd…
KwahiyomadarakayaRaisiyapunguzwenabungeliruhusiwehatakupigakurakumuondoaRaisimadarakani.
Katikamazingirah...
Contd…
Ingawaharakatizakudaikatibampyanifursakwakilakundijamiikuhakikishamaslahiyakeyanazingatiwanakatiba, kwamkaowaw...
Nini cha kufanya?
Kung’amuambinuzamaaduiwaUislamunakuwatahadharishawaislamuipasavyo.
KuwekambelemaslahiyaUislamu...
Contd…
Kuendeshamihadhara, semina, makongamanon.k.
Kuandaamachapishombalimbali VCD’s na DVD’s nakuzisambaza.<br ...
Contd…
Kufahamulengoninininakuwanastratejiayakulifikialengohilokwamaslahiyawaislamu.
Kuandaampangomkakatinampang...
Contd…
Kushambuliabadalayakujilindatu.
Propaganda war (vyombovyahabari, strategists etc).
Research and outr...
Próximos SlideShares
Carregando em…5

Harakati za kisiasa tanzania na athari zake kwa waislamu wa tanzania

DARSA HILI LILTOLEWA APRIL 2011 NA MOHAMED ISSA -UNIVERSITY OF DODOMA MUSLI FORUM.

• Entre para ver os comentários

Harakati za kisiasa tanzania na athari zake kwa waislamu wa tanzania

1. 1. Harakatizakisiasatanzania, atharizakekwawaislamu WA TANZANIA najinsiyakuPAMBANAnazo
DODOMA, 24.04.2011
MTOA MADA
Sh Mohammed Issa
HAY-ATUL ULAMAA TANZANIA
1

2. 2. UTANGULIZI
Harakatizakisiasanchini Tanzania zinaanzianaMkutanowa Berlin mwaka 1884.
Katikamakubalianoyajumlayamkutanohuo, kifungu cha VI kiliwekawaziwajibuwaSerikalizotezakikolonibaraniAfrikakutoaulinzimaalumnakuusaidiaUkristokatikamakoloniyao.
“Christian missionaries, scientists and explorers, with their followers, property and collections, shall likewise be the objects of especial protection”.(The Berlin Conference, General Act, article VI)
2

3. 3. Contd………
Matokeoyake, sera zaserikalizakikolonizaKijerumaninaKiingerezanchini Tanzania, zilikuwakuwapendeleawakristokatikaelimu, ajiranahudumazajamii.
Kanisalilijiimarishakwakutumiaupendeleohuunakuitumiaserikalikuwakandamizawaislamu. Waislamuwakawatabaka la wanyongekielimu, ajiranahudumazajamii.
UhusianohuuwaKanisanaserikaliulianzatanguenziyaukoloniwaWajerumanimwaka 1905 pale Askofu Thomas SpreiterwaJimboKuu la Dar es Salaam alipoingiaMkatabawaMaridhiano (MoU) naGavanawawakatihuo.
3

4. 4. Contd……
KatikakitabuHistoriayaJimboKuu la Dar es Salaam, tunanukuu;-
“Askofualisisitizakwambahaitoshikufunguamashuletunakufundishawatotodini, balinilazimapiakuinuahalinzimayashulezetu …kusudihaliilingane au iweborazaidikulikohaliyashulezaserikali” (D.H.Mbiku, HistoriayaJimboKuu la Dar es Salaam, uk. 73)
Ili kutimizalengohili, AskofuSpreiteralionananaGavanawaKijerumaniwakatihuonakukubaliananaekamaifuatavyo;-.
4

5. 5. Contd…..
“AlikutanapianaGavana, akapananaekujengauhusianoborakatiyamisioninaserikali. Isitoshe, walikubalianakwambahatamashuleyamisioniyanastahilikupatamisaadayaserikalinawanafunziwaliopitakutonyimwanafasizakazi”.(ibid, uk.73)
5

6. 6. Mfumowaelimuwakanisa
Mwaka 1945-Mfumo waElimu Tanganyika
ShuleShulezaSerikalinaShulezaMakanisa
Msingi 200 300 Govnt Aided
200 Unaided
Sekondari 8 10
TTC 8 16
Chuo Kikuu 1 (Makerere )
Source : Dr John Sivalon- uk. 10 -
6

7. 7. Contd….
UhusianohuukatiyaKanisanaSerikaliuliendeleahatabaadayaWajerumanikuondokanchinikufuatia Vita Kuuya I yaDunianahatabaadayauhuru.
1.0 HARAKATI ZA KISIASA WAKATI WA UKOLONI
Kwakuwawaislamuwalikuwandiyotabaka la wadhulumiwawakatiwaukoloni, waondiowalioanzishaharakatizakisiasanchini.
7

8. 8. Contd…
Mwaka 1929, waislamuwakaanzishachama cha ustawiwawaafrika -African Association (AA).
Mwaka 1933, wakakibadilijinanakukiita TAA-Tanganyika African Association.
Chama hikikiliongozwanawaislamuambaopiawalikuwaviongoziwaAljaamiatulIslamiyaFii Tanganyika hadimwaka 1953 NyererealipochaguliwakuwaRaisiwa TAA baadayaAbdulwahid Sykes.
Mwaka 1954, TAA ikabadilishwajinanakuwa TANU-Tanganyika African Union- ilikupiganiahakiyawatangayikakujitawala.
8

9. 9. Contd….
Wakatiwotewaharakatihizizawaislamukuanzia AA na TAA, wakristowalijiwekambalinasiasakwasababuUkristouliokuwandiyodinirasmiyaDola.
Lakinikuanziamwaka 1954 ushirikiwawakristokatikasiasaukachukuasurampyakwakuingiaNyererekatikauongoziwa TANU.
9

10. 10. Contd….
KupitiaNyerere, wakristowakajiandaakuitawala Tanganyika hurupasinawaislamukujuakwambaNyererekuingiakatikasiasanimpangomakhsusiwaKanisa.
John Sivalonanasema“NyerereambayemwenyewealikuwamkatolikialikuwanauhusianowakaribusananaviongozifulaniwaKanisanahivyoalionekanakuwanikiungokatiyaKanisanaSerikali.” (KanisaKatolikinaSiasaya Tanzania Bara 1953-1985)
10

11. 11. Nyererealiandaliwanakanisa
Hatuwezikuzungumzaharakatizakisiasa Tanzania naatharizakekwawaislamupasinakumzungumzia Julius Nyerere.
Tumekwishaonakuwa “NyererealikuwanauhusianonaviongozifulaniwaKanisa” (Sivalon).
MaanayakenikwambaKanisalilijiandaakushikahatamuzasiasanaserikali Tanzania.
11

12. 12. Contd…
Hao “viongozifulani” mmojawaoniPadri Walsh –KatibuMtendajiwaIdarayaElimuyaKanisaambayendiyealiyekuwamkufunziwaNyerere (mentor) kuhususiasa.
John Sivalonanasema“Wawilihawawalikuwamarafikinamaranyingi, inasemekanawalikuwawakizungumzakatikajumba la ‘White Fathers’. MojayamazungumzoyaobilashakayalikuwajuuyaNyererekujihusishakikamilifunasiasayakuteteauhuru”. (Sivalon, uk. 17)
12

13. 13. Contd..
KatikabaruayakekwendaMakaoMakuuyaKanisa Vatican kwaidaraiitwayo Propaganda Fidei, Padri William Collins KatibuMkuuwaShirika la watawa la Maryknoll Fathers aliandika;-
“Shirika la MaryknolllimekubalikulipiatiketiyakwendaMarekaninakurudiUingerezakwa vile huyunikiongozimkatoliki..Kwa vile niniayaserikaliyaWaingerezakuwaandaawenyejikwamadaraka, Shirika la Maryknolllimeonakuwamsaadawowotelinaowezakuwapatiaviongoziwakatolikinikulisaidiakanisa”. (William Collins, Report on Julius Nerere, Maryknoll Fathers Central Archives).
13

14. 14. Contd…
HuundioulikuwamkakatirasmiwakanisaKatolikikamaunavyosisitizwatenakatikanukuuifuatayo;-
“Kuna hatariya TANU kusambaratishwanatofautizakidini. Piaupouwezekanowa TANU kutodumukatikaudhibitiwamadhumuni, malengona sera zakekamailivyokuwahadisasa. Hatimayakeinategemeauwezowa wale watakaoshikamadarakamiakamichacheijayo…kwaumuhimuhuo, upoumuhimuwahaliyajuuwakuwahimizaWakatolikiwaadilifukujihusishaipasavyokatika TANU ikiwandiyonjiapekeeyakudumishauzalendowakiafrikailiusiangukiekatikamawakalawapotovu” (Confidential Diary-Tanganyika” Maryknoll Central Archives, New York)
14

15. 15. Contd…
UkwelihuuunatufanyatuelewekwaninimarabaadayaNyererekuingiakatika TAA upepowakisiasaghaflaukabadilimwelekeonakuwa ‘harakatizakisiasazaKanisa’.
Kanisalikahakikishalinatumiakilaliwezaloikiwemovyombovyakevyahabarikama vile gazeti la Kanisa la ‘Kiongozi’ kuijenga TANU ilikujihakikishianguvuyakisiasanakiutawalakatika Tanganyika huru.
15

16. 16. Contd…
AtharizaharakatihizizasiasazaKanisawakatiwakudaiuhuruniwaislamukuenguliwakutokakatikasiasakupitiaUamuziwaBusara 1958 kuhusu TANU kushirikikatikauchaguziwakuratatu.
Ukichanganyana propaganda za “KutokuchanganyadininaSiasa” zilizoanzamwaka 1958 marabaadayaMkutanowaTabora, kuathirikakwawaislamukisiasakulikujakuwafanyawaathirikezaidikiuchumi, kijamiinakidinikatika Tanganyika huru.
PamojanamkakatiwaKanisakumilikisiasa, harakatihizizisingefanikiwakamwekamawaislamuwangekuwawanajitambuanakamawangeingiakatikasiasakamakundijamiilenyemaslahiyake.
16

17. 17. 2.0 harakatizakisiasabaadayauhuru
Baadayauhuru, Kanisalilijiandaakujilimbikiziazaidinguvukubwakisiasa, kiuchuminakiutawala.
“SisiMaaskofuwenu, tunaonahajayakuelezawazikuwakueneakwamafundishorasmiyaKanisakuhususiasa, jamiinauchumihapa Tanganyika, kwawakatihuunimuhimuzaidikulikokazinyingineyoyoteileyakujitolea” (Message of Tanganyika’s Bishops, Newsletter TEC, 1962, uk.2)
17

18. 18. Contd…
KatikajuhudihizimpyazaKanisa, UislamuukaorodheshwakatikamaaduiwakubwawaKanisapamojanaUkomunistiambaowanatakiwakushughulikiwaipasavyo.
“UislamunaukomunistiulikuwaunashughulikiwanaidarayadiniyaBaraza la Maaskofu” (Sivalon, uk. 31).
Mwaka 1963, waislamuwakaamuakujizatitikielimuilikujikomboakwakujengashuleyaonakuimarishaumojailikujihaminasiasazaKanisa.
18

19. 19. Shulezaeamshadimwaka 1968
Uganda Tanzania Kenya
Shule/Msingi 77 70 28
VyuovyaUfundi 3 - -
Hosteli 1 - -
Source:
Research data, (WarshayaWaandishiHabariwaKiislamu)
19

20. 20. Contd…
Mwaka 1961 MakaoMakuuya EAMWS yalihamishiwa Dar es Salaam, kitendohikikikaonekanatishiokwaKanisa.
“Hivyo, kutokananakaziyaidaraya mambo yadiniya TEC kwawastaniwatendajiwotekatikaKanisaKatolikinajumuiyazakewalielimishwajuuyahatarizaUkomunistinaUislamukamazilivyodhaminiwanaviongoziwaKanisa”.
Matokeoyake, maamuziyoteyakisiasanakiutawalayalikuwayanatolewanaNyererenamawakalawenginewaKanisandaniya TANU naserikaliyalikuwayakitolewakulingananamkakatirasmiwaKanisa.
20

21. 21. Contd…
Sivalonanathibitishahiloalipoandikakwamba;-
“..viongoziwangazizajuuwaliohusikanautumewaKanisawakijamiikitaifawalijaribukutumiautumehuokamamkakatiwakupambananawaliodhaniwakuwamaaduiwaKanisa: UkomunistinaUislamu” (Sivalon, uk. 34).
Wakatiwaislamuwajiiandaakujikomboakielimunakijamiikutokakatikahaliduni, wakristowalikuwawanajiandaakupigapigolaomwisho.
21

22. 22. Contd…
MatokeoyakenikujengekakwaMfumoKristouliotawalakilakitukuanziasiasa, dola, elimu, ajira, uchumi, hudumazakijamaiin.k.
Sera mbalimbalizakisiasanakitaifaziliakisimafundishoyaKanisa. Azimio la ArushalililoanzishaSiasayaUjamaanahatimayevijijivyaujamaanimojakatiyamikakatiyakisiasayaKanisakuwashughulikiawaislamu.
22

23. 23. CONTD…
Kwanza walianzakwakupigamaarufukuMahakamayaKadhimwaka 1963 nakuletaSheriamojayakisekula.
Lengonikuwaondoleawaislamubaadhiyautambulishowao (Muslim Identity) nakuwachanganyanawakristo (Assimilation of Muslims) hivyokuwafanyawasijitambuekuwawaonikundijamii.
Kishawakapigamarufukuvyamavingimwaka 1965 nakuwekamfumowachamakimojakwasababuwalikhofiawaislamuwasijijengetenakisiasakupitiachamakingine.
23

24. 24. Contd…
KishawakajanaAzimio la ArushanaSiasayaUjamaamwaka 1967, hiyoilikuwa sera yaKanisatangumwaka 1905-1910 walipoanzishavijijivyaujamaachiniyaAskofuSpreiter.
“Kwanamnafulani, vijiji vile vilifanananavijijivyaujamaavilivyokamilika. Kwakawaidavijanawalijenganyumbazaokwapamojakusaidiana. Sikutatuhatatanowalifanyakazikatikashamba la umma. Nidhamunatabiayakilammojaziliangaliwanakulindwanaviongoziwakijijipamojanawamisionari” (D.H.Mbiku, HistoriayaJimboKuu la Dar es Salaam, uk. 84)
Azimio la ArushalilitaifishanjiakuuzauchumiambazokwakiasikikubwazilikuwamikononimwawaislamuhusuusanviwandanamajumbaambayoyalimilikiwanaMsajiliwaMajumba (Shirika la Nyumba la Taifa).
24

25. 25. Madharaya SERA YA MFUMO WA CHAMA KIMOJA, azimio la arushanasiasayaujamaakwawaislamuwatanzania
UamuziwakufutaMahakamazaKadhiuliwaathiriwaislamukatikautekelzajiwamafundishoyadiniyaonakuwaathirikiuchumi-mirathi, ndoa, talakan.k.
Uamuziwakufutamfumowavyamavingiuliwanyimawaislamufursayachamambadalahivyokuwafanyaimawatumwakisiasa au kukosakabisafursayakushirikikatikaharakatizakisiasa.
Sera yautaifishaji (Nationalization) ilisababishawawekezajiwaislamuhasawahindikuhamanchinihivyokuuanguvuzawaislamukiuchumi.
Siasazautaifanauzalendo (Nationalism) ziliuaumojawawaislamuchiniya EAMWS nakuathirimipangoyamaendeleoyawaislamukielimu.
25

26. 26. Contd…
Sera yavijijivyaujamaailimalizakabisamfumowakijamiiwawaislamunakuwaathirikiuchumikwakuwatoakatikaardhizenyerutubanamakaziyaotangubabuzao.
Vijijivyaujamaaviliwapawakristofursanzuriyakuwaritadhishawaislamu au kuharibumaadiliyaokwakuwarundikamahalipamoja.
“Makatekistahaolazimawafanyekazikatikaidarazamaendeleoyajamiivijijini, iwenikatikakilimo au katikashuguhulinyinginezamaendeleokama vile ujenziwanyumba, barabaran.k.” (Religious Affairs Department, “Some Pointers about Islam in Tanganyika” 1963)
26

27. 27. Contd…
MaaskofumbalimbaliwaliwahimizawakristokwendakatikavijijivyaujamaakwasababukwaoilikuwafursayakipekeekamaAskofu Christopher Mwolekaalivyonukuliwaakisema;-
“Katikahistoria, Kanisahalijapatanafasikamahiiyakuonyeshakwavitendoyaleambayolimekuwalikuhubirikwakarnenyingi.. Kijijiambachowatu wake wanahimizwakuwasehemuyamwilimmojaniimahalipazurikwaUkristokufanikiwa. Hapa Tanzania uwanjaumekwishatayarishwa, kinachobakinikuenezanakukuzainjili…hivyo, vijijiniwakristowaanzishejumuiyaziwekamasumakukuwavutawengine” (C. Mwoleka and J. Healey eds.., “Ujamaa and Christian Communities,” Spearhead No. 45).
27

28. 28. Contd….
Nyereremwenyewekamamleialiwahimizamapadrikuishivijijini. Sivalonanasema;-
“BaadayaMwalimuNyererekuwatakamapadrikuishivijiniviongoziwaKanisakwapamojawalitafutanjiayakuitikiamwitohuo. IlikuwadhahirikwambaidadiyamapadriwaliohitajikakamaalivyotakaNyererehaikuwepo”. Hivyokatikamkutanowaowamwaka 1970, maaskofuwaliamuakwamba “makatekistamojakwamojawawendiowatakaoishikwakudumuvijijini..nahaomakatekistawapewemafunzomaalumkwakazihii” (Sivalon, uk. 41)
28

29. 29. Contd…
Mwakahuohuowa 1970, NyererealikuwaameshawaambiaMaaskofukuwaanatakakulipaKanisanafasiyakipekee.
AkizungumzanaKatibuMkuuwa TEC, PadriRweyemamualiyekuwaamemtembeleaIkulu, Nyererealisema;-
“I am just a lay man but tell the Bishops that I am trying to do whatever I can to give my church a better chance so that it will not be blamed as it is in Latin America” (Van Bergen, Religion and Development in Tanzania).
29

30. 30. Contd…
SivalonanasemaAzimio la ArushalinasisitizamaadiliyaKikristonaananukuu;-
“Hakunaatakayetiliamashakamiongozoiliyokatika ‘Azimio la Arusha’. Tunapotafakari ‘Azimio la Arusha’, tunakumbukaariyawakristowa kwanza kamailivyoandikwakatikaMatendoyaMitume..(Ibid, uk.2).
Kwahiyokwamudawotewaserikaliyaawamuya kwanza namfumowachamakimoja, harakatizakisiasazilikuwaniKanisakupambananaUislamunaWaislamukatikakilanyanjanakujengaMfumoKristo.
30

31. 31. CONTD…
John Sivalonanasemamwaka 1969 uliitwa “MwakawaSeminazaMafunzo” naananukuuazimio la Mkutanouliofanyika Chuo Kikuu Dar es Salaam;-
“ViongoziwaKanisawanaombwakushirikikikamilifukatikamaendeleoyavijijinikwauwezowaowotenakufuatamipangoyaserikali. KanisalinaombwakusaidiakuwaelimishawatukwamtazamompyanamaadiliyaKikristoyaliyomokatikasiasayaujamaaambayohutegemewasananamaendeleoyakisiasa” (Sivalon, uk.45)
31

32. 32. Contd…
Hadikufikiamwaka 1970, siasaza Tanzania zilikuwamikononimwaKanisakwaasilimiakubwanakuwawezeshakuamuawanachotakakukidhimaslahiyaKanisa.
Seminaileya “MwakawaMafunzo” (SSY) ilikuwanaatharikubwasanakatikasiasaza Tanzania.
“SSY naBarazavimeletamsisimkohuuambaoumewaamshaWakatolikikupiganiavitikatikauchaguziwawabungenamiminikiwammojawao. Baadayehukobungenitulifanyautafitiusiorasminakugunduakwambaasilimiasabininatanoyawaliochaguliwawalikuwawakristo, nakatiyahao, asilimiasabiniwalikuwawakatoliki” (John Sivalon, uk. 46)
32

33. 33. Contd…
Kwakutumiawingiwaobungeni, wakawawanapitishasheriambalimbalizakuwakandamizawaislamu.
SheriayaNdoanaTalakaya 1971 nimojayasheriahizokandamizikwawaislamukwasababu;-
Inakatazamsichanachiniyamiaka 18 kuolewa.
Inaruhusuuzinzikwakutambuamwanamumenamwanamkewaliokaakatikaukimadakuwamkenamume.
Inaruhusundozamchanganyikowatuwadinimbilitofauti (ndoayakiserikali/Bomani).
Haitambuitalakayamumekwamkewehadiithibitishwenamahakama.
Inamtambuamtotoaliyezaliwanjeyandoakuwamtotohalalinaanarithi.
33

34. 34. 3.0 HARAKATI ZA KISIASA KATIKA MFUMO WA VYAMA VINGI (1992 TODATE)
Hatimaye sera yaMwalimuNyererenaKanisayaUjamaanaKujitegemeaikafelivibaya. Ukichangiana Vita vyaKageraambavyopiavilianzishwanaMfumoKristo, uchumiwa Tanzania ukaporomokananchikuingiakatikakipindikigumu cha haliyamaisha.
Profesa Ali MazruialikuitakufelihukukwaSiasayaUjamaanaKujitegemea“Nyerere’s policy of Socialism seemed a heroic failure”. (Prof. Ali Mazrui, The Africans, A Triple Heritage, BBC Documentary).
Ndiyo, ingawaalifelivibaya, kwaKanisaKatolikiNyerereni “Hero” ndiyomaanawamemtangazakuwa “MwenyeHeri” akielekeakatika “Utakatifu”.
34

35. 35. Contd…
Akikabiliwanahalimbayayauchumi, Nyerereakalazimikakung’atukanakumkabidhinchi Ali Hassan Mwinyimnamomwaka 1985.
Kipindichote cha RaisMwinyikilitawaliwanaupinzanimkubwawaKanisahukuKanisalikijipangaupyakwakurejeshamfumowasiasawaVyamaVingimwaka 1992.
Julius Nyerereakawamwongozajimkubwawaujenziwamfumowavyamavingikwamaslahiyakanisaakihofiakuibukakwavyama au chama cha Kiislamu.
35

36. 36. Contd…
KatibayaJamhuriyaMuunganoSuraya Kwanza Kifungu cha 3.-(1) inasema;-
“The United Republic is a democratic and Socialist Statewhich adheres to multi-party democracy”.
Pamojanakurejeshamfumowavyamavingi, katibainakatazakuundwakwavyamavyakidini, kikabila au kikanda.(Katiba 20 - (2))
36

37. 37. Contd…
Wakatimfumowavyamavingiinaanzatena, waislamuwengiwalishapotezahamukuhususiasakwakuonakuwahainamaslahinadiniyao.
Matokeoyake, kwamaranyingineniwakristondiowaliokuwakwenyenafasinzurizaidikisiasakujipangakwamaslahiyaonawaislamuwameendeleakuwanguvukaziyawengine.
37

38. 38. Contd…
Kwamudamfupi, waislamuwalipatamatumainikisiasakupitia Prof. Kighoma Ali Malimaalipojiungana NRA (National Reconciliation Alliance) nakutangazakugombeaUraisiuchaguzimwa kwanza wavyamavingimwaka 1995.
Hakunaaliyekuwatayarikuonahilolikitokeahivyo Prof. Malimaakafarikiduniakatikamzingirayakutatanishajijini London mwakammojakablayauchaguzihuo.
38

39. 39. Contd…
Katikauchaguziwamwaka 1995, waislamuwaliokuwawamezindukakisiasawakajiungakwawingina CUF chiniyamgombeaUraisi Prof. Lipumba.
MawakalawaKanisawakaeneza propaganda kuwa CUF nichama cha waislamutenawenyemsimamomkalikujaribukudhibitiwaislamukujikomboakisiasanakwakiasikikubwawakafanikiwa.
39

40. 40. Contd…
Angalaukipindi cha awamuyapili, waislamuwalipataahuenikidogodhidiyaukandamizajinahivyokupatafursazakujiendelezakielimukijamiinahatakiuchumi.
Pamojanahayo, hakukuwanamkakatiwakuitumiafursahiyoadhimukujipangakisiasakwaajiliyasikuzambeleni.
40

41. 41. Contd…
BadalayakeniwakristondiowalioitumiavemafursayaRaismuislamukuwekaMakubalianoyaMaridhiano (Memorandum of Understanding-MoU) katiyaMakanisayaKikristonaserikalikwamaslahiyao.
WaislamuwalipotakakurejeshwakwaMahakamayakadhina Tanzania kujiunganaUmojawaNchizaWaislamuDuniani (OIC), Maaskofunabungelinalodhibitiwanawakristolikapingakwanguvuzote.
41

42. 42. Contd…
Uchaguziwa 1995 ulioneshakuwawaislamubadowakonyumasanakisiasakulinganishanawakristokwaniwakristowalitumiahamasayawaislamujuuya CUF hatakuwaangushawabungewaislamuwaliokuwa CCM nakuwawekawabungewakristo. (Jimbo la Kigamboni – DSM).
Uchaguziwa 2000 na 2005, waislamuwalikuwawasindikizajitukwanihakukuwanamkakatiwowoteulemadhubutikisiasakushirikikamakundijamiilenyemaslahiyake.
42

43. 43. Contd…
Kipindichote cha awamuyatatu, waislamuwalijikutawakipatamadhilamakubwakisiasanakiimani. (MauajiMwembechai, Zanzibar, Pemba, Morogoro, masheikhkuswekwandani, wahadhirikufungwan.k.).
Halihiiimechangiakwakiasifulanimwamkowawaislamukisiasaingawabadohakunaumojanamwelekeomaalumhivyokuendeleakukosamafanikiomakubwakisiasakulinganishanawakristo.
43

44. 44. Contd…
Uchaguziwamwaka 2010, harakatizakisiasanchiniziligubikwana mambo mawilimakubwa;-
MkakatimpyawaMfumoKristokutakakuwanachamachake.
Muafakawakisiasa Zanzibar uliopelekeakuundwakwaserikaliyaumojawakitaifakatikaya CCM na CUF.
Matukiohayamawiliyamebadiliupepowaharakatizakisiasahukuatharizakezikisabishamabadilikomubwakatikamedanizakisiasa.
44

45. 45. Contd…
Muafakawa Zanzibar, umeletahaliyaamani, udugunamshikamanokiasifulani Zanzibar nakupunguzahaliyauhasamakatiyawapembanawaungujawaliyojengewakwamudamrefu.
Matokeoyamuafakanikufanyikakwamabadilikoyakatibaya Zanzibar ambapo Zanzibar imejitambulishakuwanidolakwamaranyingine.
Aidhahaliyautaifawawazanzibariinazidikujitokezawakihijimuundowamuungano, kunufaikanarasilimalizaonapato la taifanahatakuhojikuhusuMuungano.
45

46. 46. Contd…
Kwaupandewa Tanzania Bara, matukioyamuafakawa Zanzibar yameletakuzorotakwanguvuzakisiasazawaislamu.
WakikhofiaRaisiajaekutoka Zanzibar, wakristowakajanaharakatizakukitianguvuchama cha Chademailikiwechamakikuu cha upinzaninaikiwezekanakuiondoamadarakani CCM inayotuhumiwakuwaleawaislamu.
46

47. 47. Contd…
Ingawawakristowameitumia CCM kujijenga, sasawanatakakuondokananachamachenyehistorianawaislamunakuwanachamaambachohakinahistorianawaislamu.
MpangowaKichungajiwaKuhamasishaJamiiKuelekeaUchaguziMkuu 2010 naIlaninaVipaumbelevyaKanisavililengakatikamwelekeohuo.
Wakristowamejizatitipiakatikachama cha CUF upandewabarawakisimamishahatawachungajikugombeanafasimbalimbali. Kwatiketiya CUF.
47

48. 48. Contd…
MgombeawaChademakuwaPadrihaikuwabahatimbayahatakidogo. Kampenizikapigwawaziwazimakanisaninakatikavyombovyaovyahabariikiwemo TBC na TBC Taifa.
HarakatihizizaKanisazikawazinduawaislamuwengikuionahatariinayowakabilinakuwalazimishakujihamikwakuunganishanguvuzaokumhamimgombeaUraiswa CCM ilikuzuiamgombeawaChademakushinda.
48

49. 49. Contd…
Kwamaraya kwanza, masheikhwakashirikikatikasiasapasinakifichokamawafanyavyoMapadri, WachungajinaMaaskofujamboambalolinaashiriamwamkompyakwaviongozihawawawaislamu.
Kilichokosekananistratejiayapamojakuwekawagombeawaokatikangazimbalimbalihivyokukosaushindikisiasakamakundijamii.
Badowaislamuwamegwanyikakatikavyamambalimbalijamboambalolinawaathirisanakwakukosanguvuyapamojakisiasa.
49

50. 50. BAADA YA UCHAGUZI 2010
Mambo yanayojitokezabaadayauchaguziwa 2010 yanaashiriamkakatiwaMfumoKristokubadilimazingirayakisiasa Tanzania.
UongoziwaawamuyanneumeoneshakwambamaslahiyaKanisayanawezakuguswa (Muswadawakufutamisamahayakodi, kushindwakwamgombeawao 2010, kushikwanafasinyetinawaislamu, kuongezekaidadiyamawiziriwaislamukufikia 40%) n.k.
50

51. 51. Contd…
Mkakatimpyanikuhakikishakuwanchihaitawalikiilikuzidikujengachamachaotayarikwauchaguziwa 2015.
MadaiyakatibampyaninjiayakufikiamalengoyaMfumoKristokuwezakudhibitisiasanadolakatikakarneya 21 kwakupunguzamadarakayaUraisnakulipanguvubunge.
Hiinikutokananaukwelikuwaingawawanawezakudhibitibungekirahisikatikamazingirayaliyopo, lakiniupouwezekanowaRaisikuwaMuislamu.
51

52. 52. Contd…
KwahiyomadarakayaRaisiyapunguzwenabungeliruhusiwehatakupigakurakumuondoaRaisimadarakani.
Katikamazingirahaya, waislamutunapaswakutafakarikwamakininilipijemakwetu? Raisimwenyemamlakamakubwakulikobunge au bungelenyemalakamakubwakulikoRaisi?
Wakatinirahisikumkabilimtummoja, nivigumukulikabilibungelenyeidadikubwayawakristonahakunamatumainiyaidadihiyokupunguasikuzakaribuni.
52

53. 53. Contd…
Ingawaharakatizakudaikatibampyanifursakwakilakundijamiikuhakikishamaslahiyakeyanazingatiwanakatiba, kwamkaowawaislamuharakatihizizinawezazisiwasaidiekutimizalengohilo.
Hatunaumojanamshikamano.
Hatunamkakatiwapamoja.
HatunaUongoziuliokatikamfumo (central control).
Hatunaushirikianowapamoja (co-ordination).
Hatuna NGO’s na CBO’s zakuteteahakizetu.
53

54. 54. Nini cha kufanya?
Kung’amuambinuzamaaduiwaUislamunakuwatahadharishawaislamuipasavyo.
KuwekambelemaslahiyaUislamunaWaislamukatikaharakatizetuzakisiasa.
KuwaamshawaislamuwakadambalimbaliiliwajitambuenakuwekambelemaslahiyawaislamunaUislamunchinikwakutumiauwezonanafasiwalizonazo.
54

55. 55. Contd…
Kuendeshamihadhara, semina, makongamanon.k.
Kuandaamachapishombalimbali VCD’s na DVD’s nakuzisambaza.
Kutumiavyombovyetuvyahabari.
Kujengamtandao (network) wawaislamunchini.
Wanafunzimashuleninavyuoni (vyamawawanafunziwaislamu).
Wafanyakazimaofisini.
Viongoziwataasisizakiislamu.
Vyombovyahabari.
55

56. 56. Contd…
Kufahamulengoninininakuwanastratejiayakulifikialengohilokwamaslahiyawaislamu.
Kuandaampangomkakatinampangokaziwaummah.
Kujiunganavyamavyasiasakistratejia.
Kuandaawagombeawanafasimbalimbalizauongozikatikaserikalizamitaanataifa.
Kutoamafunzoelekezikwawagombeawatarajiwa.
Kuandaawaraghibishinawashawishi (lobbying and advocacy groups-wanastratejia).
56

57. 57. Contd…
Kushambuliabadalayakujilindatu.
Propaganda war (vyombovyahabari, strategists etc).
Research and outreach.
MWISHO
57