SlideShare uma empresa Scribd logo
1 de 17
Maana ya utafiti.
Umuhimu wa kufanya utafiti wa kielimu.
Hatua za kufanya utafiti wa kielimu.
Mpangilio au uandishi wa ripoti ya utafiti
mdogo wa kielimu.
Kutumia matokeo ya utafiti.
Utafiti ni uchunguzi unaotumia mbinu za
 kisayansi katika kutafuta taarifa juu ya
               jambo fulani.
λ Kuna aina kuu mbili za utafiti.
2.Utafiti wa msingi
3.Utafiti wa matumizi
 Hutumika zaidi na wanasayansi.
 Lengo kuu ni kukuza nadharia, misingi
  na kanuni mbalimbali.
 Hauzingatii sana kutumia matokeo
  katika kutatua matatizo.
 Unakazia matumizi ya matokeo ya utafiti
  huo katika kutatua matatizo na kufanya
  shughuri fulani iwe bora zaidi.
 Lengo ni kufanya utendaji uwe bora
  zaidi.
 Ni utafiti wa aina yoyote unaohusiana na
  mambo ya kielimu.
 Unahusiana na afanikio katika kujifunza,
  mipango ya elimu, mitaala na uwezo wa
  walimu kufundisha.
 Kwa ajili ya kuanzisha nadharia muhimu za kielimu.
 Kuwezesha marekebisho katika program na maeneo
  mbalimbali ya kielimu.
 Ni chombo muhimu katika kutafuta majibu katika
  mipango mbalimbali ya kielimu.
 kuna haja ya utafiti wa kielimu kutokana na mabadiliko
  katika dhana na mfumo wa miundo katika uwanja wa
  elimu.
 Kusaidia katika kuleta uboreshaji katika
 mitaala iliyopo, vitabu, mbinu za
 ufundishaji na tathmini.
1. Kutaja Suala la utafiti
2. Kuelezea Madhumuni ya Utafiti
3. Kuandika Pitio la maandiko
4. Kueleza Njia na Miundo ya Utafiti
5. Katayarisha, kujaribisha na kurekebisha
   Zana za Utafiti
6. Kukusanya,kuchambua na kutafsiri
   data
λ Hiki ni kiini cha Utafiti
λ Lengo la Utafiti na Muundo wake
 hutegemea sana SUALA LA UTAFITI
 Maendeleo mabaya ya wanafunzi
 Wanafunzi katika shule yenye majengo
  duni wana alama na mafanikio ya chini
  kuliko wale wa majengo bora.
 wanafunzi katika madarasa bora na vifaa
  vya kutosha huwa na alama na mafanikio
  bora kuliko wale wa madarasa duni na
  yasiyo na vifaa vya kutosha
 Liko wazi
 Lina mchango katika masuala yaliyotangulia
 Linaweza kufanyika katika mazingira halisi
 Lina jambo jipya
 Lina mwelekeo
 Soma ripoti mbalimbali zinazohusu suala unalofanyia
  Utafiti
 Madhumuni
 Kugundua tafiti zilizokwishafanyika kuhusiana na suala
 Kutambua tafiti zilishughulikia kusudi na maswali gana
  ya Utafiti
 Kuafahamu njia na zana zilizotumika,namna
  zilivyotumika,jinsi ukokotoaji na uwasilishaji wa data
 Kutambua makosa na matatizo yaliyotokea ila yaweze
 kuepukwa.
 Maktaba ni sehemu muhimu unapoweza kupitia
  maandiko mengi.
 Jambo muhimu kuhakikisha unafuata taratibu za mapitio
  ikiwemo ufupisho wenye mambo makuu, fuata taratibu
  za uandishi wa nukuu kama utahitaji kufanya.
 Njia za Utifiti wa Kielimu;
Saveyi
Kisa mafunzo
Jaribio
THE END

Mais conteúdo relacionado

Mais procurados

Inductive method by Anna Mapeth Evangelista
Inductive method by Anna Mapeth EvangelistaInductive method by Anna Mapeth Evangelista
Inductive method by Anna Mapeth Evangelista
BSEPhySci14
 
Module 4: Instructional Strategies
Module 4: Instructional StrategiesModule 4: Instructional Strategies
Module 4: Instructional Strategies
Cardet1
 
Bloom power point
Bloom power pointBloom power point
Bloom power point
ejreamer
 
Jerome bruner learning theory
Jerome bruner learning theoryJerome bruner learning theory
Jerome bruner learning theory
RN Yogendra Mehta
 

Mais procurados (20)

UD -designing learner centered curriculum
UD -designing learner centered curriculumUD -designing learner centered curriculum
UD -designing learner centered curriculum
 
Inductive method by Anna Mapeth Evangelista
Inductive method by Anna Mapeth EvangelistaInductive method by Anna Mapeth Evangelista
Inductive method by Anna Mapeth Evangelista
 
RESEARCH PROPOSAL
RESEARCH PROPOSALRESEARCH PROPOSAL
RESEARCH PROPOSAL
 
Module 4: Instructional Strategies
Module 4: Instructional StrategiesModule 4: Instructional Strategies
Module 4: Instructional Strategies
 
Methods of teaching mathematics
Methods of teaching mathematicsMethods of teaching mathematics
Methods of teaching mathematics
 
Problem based learning (pbl) presentation
Problem based learning (pbl) presentationProblem based learning (pbl) presentation
Problem based learning (pbl) presentation
 
Action research
Action researchAction research
Action research
 
Taba model of curriculum development
Taba model of curriculum developmentTaba model of curriculum development
Taba model of curriculum development
 
Bloom power point
Bloom power pointBloom power point
Bloom power point
 
Advantages and Disadvantages of Questionnaire
Advantages and Disadvantages of QuestionnaireAdvantages and Disadvantages of Questionnaire
Advantages and Disadvantages of Questionnaire
 
Flipped Class Room
Flipped Class Room Flipped Class Room
Flipped Class Room
 
Classroom action research ppt
Classroom action research pptClassroom action research ppt
Classroom action research ppt
 
Theories Curriculum Development
Theories Curriculum Development Theories Curriculum Development
Theories Curriculum Development
 
Integrative model
Integrative modelIntegrative model
Integrative model
 
Types of evaluation tool
Types of evaluation toolTypes of evaluation tool
Types of evaluation tool
 
Planning for Instruction
Planning for InstructionPlanning for Instruction
Planning for Instruction
 
Jerome bruner learning theory
Jerome bruner learning theoryJerome bruner learning theory
Jerome bruner learning theory
 
Recent Trends and Practices in Assessment and Evaluation
Recent Trends and Practices in Assessment and EvaluationRecent Trends and Practices in Assessment and Evaluation
Recent Trends and Practices in Assessment and Evaluation
 
Rakhi-Sawlani-B.Ed.-Action-Research.pptx
Rakhi-Sawlani-B.Ed.-Action-Research.pptxRakhi-Sawlani-B.Ed.-Action-Research.pptx
Rakhi-Sawlani-B.Ed.-Action-Research.pptx
 
Problem based learning
Problem based learningProblem based learning
Problem based learning
 

UTAFITI WA KIELIMU

  • 1. Maana ya utafiti. Umuhimu wa kufanya utafiti wa kielimu. Hatua za kufanya utafiti wa kielimu. Mpangilio au uandishi wa ripoti ya utafiti mdogo wa kielimu. Kutumia matokeo ya utafiti.
  • 2. Utafiti ni uchunguzi unaotumia mbinu za kisayansi katika kutafuta taarifa juu ya jambo fulani.
  • 3. λ Kuna aina kuu mbili za utafiti. 2.Utafiti wa msingi 3.Utafiti wa matumizi
  • 4.  Hutumika zaidi na wanasayansi.  Lengo kuu ni kukuza nadharia, misingi na kanuni mbalimbali.  Hauzingatii sana kutumia matokeo katika kutatua matatizo.
  • 5.  Unakazia matumizi ya matokeo ya utafiti huo katika kutatua matatizo na kufanya shughuri fulani iwe bora zaidi.  Lengo ni kufanya utendaji uwe bora zaidi.
  • 6.  Ni utafiti wa aina yoyote unaohusiana na mambo ya kielimu.  Unahusiana na afanikio katika kujifunza, mipango ya elimu, mitaala na uwezo wa walimu kufundisha.
  • 7.  Kwa ajili ya kuanzisha nadharia muhimu za kielimu.  Kuwezesha marekebisho katika program na maeneo mbalimbali ya kielimu.  Ni chombo muhimu katika kutafuta majibu katika mipango mbalimbali ya kielimu.  kuna haja ya utafiti wa kielimu kutokana na mabadiliko katika dhana na mfumo wa miundo katika uwanja wa elimu.
  • 8.  Kusaidia katika kuleta uboreshaji katika mitaala iliyopo, vitabu, mbinu za ufundishaji na tathmini.
  • 9. 1. Kutaja Suala la utafiti 2. Kuelezea Madhumuni ya Utafiti 3. Kuandika Pitio la maandiko 4. Kueleza Njia na Miundo ya Utafiti 5. Katayarisha, kujaribisha na kurekebisha Zana za Utafiti 6. Kukusanya,kuchambua na kutafsiri data
  • 10. λ Hiki ni kiini cha Utafiti λ Lengo la Utafiti na Muundo wake hutegemea sana SUALA LA UTAFITI
  • 11.  Maendeleo mabaya ya wanafunzi  Wanafunzi katika shule yenye majengo duni wana alama na mafanikio ya chini kuliko wale wa majengo bora.  wanafunzi katika madarasa bora na vifaa vya kutosha huwa na alama na mafanikio bora kuliko wale wa madarasa duni na yasiyo na vifaa vya kutosha
  • 12.  Liko wazi  Lina mchango katika masuala yaliyotangulia  Linaweza kufanyika katika mazingira halisi  Lina jambo jipya  Lina mwelekeo
  • 13.  Soma ripoti mbalimbali zinazohusu suala unalofanyia Utafiti  Madhumuni  Kugundua tafiti zilizokwishafanyika kuhusiana na suala  Kutambua tafiti zilishughulikia kusudi na maswali gana ya Utafiti  Kuafahamu njia na zana zilizotumika,namna zilivyotumika,jinsi ukokotoaji na uwasilishaji wa data
  • 14.  Kutambua makosa na matatizo yaliyotokea ila yaweze kuepukwa.
  • 15.  Maktaba ni sehemu muhimu unapoweza kupitia maandiko mengi.  Jambo muhimu kuhakikisha unafuata taratibu za mapitio ikiwemo ufupisho wenye mambo makuu, fuata taratibu za uandishi wa nukuu kama utahitaji kufanya.
  • 16.  Njia za Utifiti wa Kielimu; Saveyi Kisa mafunzo Jaribio